Sala kabla na baada ya Tendo la ndoa.

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,312
Reaction score
12,200
Mkawe na maandalizi mema kuelekea wikendi. Msisahau kusali leo kabla na baada ya tendo!..

(Mama mchungaji wangu sijamuona siku ya pili humu)
 
mama mchungaji Mzigua90 usharudi jukwaani!?.. Kuna maombi maalum yanahitaji ufanye.
 
Hiyo ni kwa wale wana ndoa.. Kwa sisi wazinzi hapo kuomba inakua ngumu, unaweza omba mara paaap gegedeo haudindi..
 
kuna sala fulan nilikua nayo.
ilikua inaitwa SALA KWA WAPUMBAVU WA AFRIKA. humu tulitukanwa sana kuhusu ujinga wetu waafrika kutokumjua Mungu na kutumikia mizimu + uchawi. Natamani niiaplodi hapa
 
kuna sala fulan nilikua nayo.
ilikua inaitwa SALA KWA WAPUMBAVU WA AFRIKA. humu tulitukanwa sana kuhusu ujinga wetu waafrika kutokumjua Mungu na kutumikia mizimu + uchawi. Natamani niiaplodi hapa
Hiyo sala ni ya kijinga zaidi!.. Lakini naomba kuiona vinci.
 
[emoji23] myakati fulani chuoni!, niko 'geto', mchuchu mmoja night kapika msosi, muda wa kula akasali 'ile sala ya utupe nguvu ya kukutumikia vyema'. Tulipokua tunakula nikawaza sana, baada ya msosi huu nitanyoosha goti, sasa huku ndio 'kumtumikia vyema'.. Nikaishia kujisemea ndani ya nafsi '...... Atusamehe'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…