in and out
Member
- Jun 30, 2011
- 69
- 6
magdalena sakaya leo ameliambia bunge juu mkuu wa wilaya wanavyojichukulia mifugo ya wanainchi huko urambo-tabora, ameombwa amtaje kiongozi anayefanya hivyo au afute kauli yake lakini mbunge ameonyesha ungangari kwa kusimamia kauli yake, ametakiwa apeleke ushahidi mpaka jtatu mbele ya spika.
Huyu spika nadhani anapaswa kupimwa akili.....
Umeona alivyo mchana Ngeleja na kumwambia kazi hawezi na ajiuzulu? Nimemkubali jimama. Kuna watu wakiongea unaona kabisa ana uchungu wa dhati na nchi na wananchi wake.Re: sakaya wa cuf kweli ngangari.
Huyu Sakaya anafaa cdm tatizo ni cuf ndio maana naona taabu kumsifia. Pipooooz......
Umeona alivyo mchana Ngeleja na kumwambia kazi hawezi na ajiuzulu? Nimemkubali jimama. Kuna watu wakiongea unaona kabisa ana uchungu wa dhati na nchi na wananchi wake.