Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Alijifunzia wapi?lipumba is irrelevant,kutaka kupambana na lowassa kupitia kumrudisha lipumba cuf haitawezekana,mamvi anaijua siasa kuliko think tankers shallow type za bulembo na sendeka
nyinyi watu wabaya sana,mmemuingiza mkenge le profeseri,mmempa masharti magumu!!!ona anavyodharirika...Alijifunzia wapi?
Sakaya ailima barua CUF
Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara), Magdalena Sakaya amesema amewasilisha barua ya rufaa katika mkutano mkuu wa chama hicho kupinga kusimamishwa uanachama.
Hivi karibuni, Baraza Kuu la Uongozi la chama hicho lililoketi visiwani Zanzibar lilimsimamisha uanachama Sakaya kutokana na kile kilichoelezwa ni kuvunja katiba kwa kutohudhuria kikao bila kutoa taaarifa.
My take.
Udikteta wa sultani Seif utaimaliza CUF!
Anayehadhirika na kuingizwa ofisini na polisi nani?nyinyi watu wabaya sana,mmemuingiza mkenge le profeseri,mmempa masharti magumu!!!ona anavyodharirika...
lipumba is done,and is for tanzania's political goodAnayehadhirika na kuingizwa ofisini na polisi nani?
Udikteta wa ccm haujammaliza amba jechaSakaya ailima barua CUF
Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara), Magdalena Sakaya amesema amewasilisha barua ya rufaa katika mkutano mkuu wa chama hicho kupinga kusimamishwa uanachama.
Hivi karibuni, Baraza Kuu la Uongozi la chama hicho lililoketi visiwani Zanzibar lilimsimamisha uanachama Sakaya kutokana na kile kilichoelezwa ni kuvunja katiba kwa kutohudhuria kikao bila kutoa taaarifa.
My take.
Udikteta wa sultani Seif utaimaliza CUF!
HAJAILIMA barua,amejielezaSakaya ailima barua CUF
Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara), Magdalena Sakaya amesema amewasilisha barua ya rufaa katika mkutano mkuu wa chama hicho kupinga kusimamishwa uanachama.
Hivi karibuni, Baraza Kuu la Uongozi la chama hicho lililoketi visiwani Zanzibar lilimsimamisha uanachama Sakaya kutokana na kile kilichoelezwa ni kuvunja katiba kwa kutohudhuria kikao bila kutoa taaarifa.
My take.
Udikteta wa sultani Seif utaimaliza CUF!
Nyie mbona Lowassa mlimuingiza mkenge?nyinyi watu wabaya sana,mmemuingiza mkenge le profeseri,mmempa masharti magumu!!!ona anavyodharirika...
kivipi?fafanuaNyie mbona Lowassa mlimuingiza mkenge?