Sakata la UDA: Serikali inawadharau wananchi?

Sakata la UDA: Serikali inawadharau wananchi?

Kim Jo Ngil

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
45
Reaction score
17
Waziri wa wizara nyeti kama ya fedha anaposimama katika bunge la taifa na kusema kuwa mali ya umma (UDA) haijauzwa na ni bado ni mali halali ya serekali huku mmliki nae akitamka mengine kuwa hamna ukweli kwani shirika limeuzwa na anamiliki yeye.

Unapata picha gani kama mtanzania? Kwa matamko hayo kweli unaweza kuwa na imani na serekali?

Nani muongo hapo? Na kwa nini aseme uongo? Kwa faida ya nani?
 
Ndugu inamaana wewe bado unaimani na serekali hii ya ccm
Mbona ni wezi wa mchana
 
Unaongelea heshima!!!!?????
Kabisa unaulizia heshima!!????
Yaani unategemea heshima!!!????

Haya bhana..................
 
Kwanini UDA wanajichagulia njia za kwenda, na kwanini wao hawafuati sheria ya kuweka alama za route kwenye magari yao?
 
Wote wako sahihi yaani mmiliki na serikali. Asingekuwa mmiliki sidhani kama angekuwa MD wa UDA.
 
Udhaifu na ulegelege kila kona. Na hakuna wa kumwajibisha Waziri kihiyo asiyejua sakata la UDA hadi Idd. simba akafunguliwa kesi iliyofutwa.
 
Watz ni misukule wa ccm,na viongozi wa ccm misukule wa wazungu na matajiri duniani kote
 
Dola hii dhaifu sana inadhani ushujaa ni kurusha askari kwa parachuti
 
...Ukizunguka dunia nzima,haya MAUZAUZA utayakuta Tanzania tu,..
 
Back
Top Bottom