Wee nguchiru endelea na kampeni yako ya kuvuaa barakoa na kuongeza hofu juu ya Corona.Mapunga ambayo pia ni mapimbi kutokea kusikojulikana huwa yanafanana.
View attachment 1855020
View attachment 1855024
View attachment 1855025
Vipi haya mengine mnafahamiana?
Yako mengi ya namna yako siku za karibuni yanakuja kwa kasi kama wimbi #3.
Serikali imeshamshinda mama hii. huko BOT na TPA watu wamejichotea mahela lakini hawaguswi tumebakia kupigwa sound tu. anayeshushiwa rungu ni mwananchi wa kipato cha chini . wtf
Wee nguchiru endelea na kampeni yako ya kuvuaa barakoa na kuongeza hofu juu ya Corona.
This is the only thing that you're capable of it. Wacha mle na mshibe Uhuru wa kutukana na democrasia ya kishoga.
Bado sasa tutakatwa tozo kwenye ndoa,kisha tozo kwenye imani na mwisho kabisa tozo ya ongezeko wa thamani kwenye uhai, kila mwananchi alipe 10% ya ongezeko wa umri na akishindwa kulipa sheria kali za wanasiasa zichukue mkondo wake.
Kama niwazavyo ni sahihi basi tuwe na roho ya kiungwana kabisa kukubali hata kuichangia serikali nusu ya kila tulicho nacho kwa kuwa tulikubali bila shuruti kubatizwa kuwa wanyonge. Tuauige mfano wa enzi za utawala wa ki chief ambapo wananchi walikuwa wanaporwa kila kitu in the name of royal family.Tusipowakemea tutarajie kodi ya kuwa i.
Kama niwazavyo ni sahihi basi tuwe na roho ya kiungwana kabisa kukubali hata kuichangia serikali nusu ya kila tulicho nacho kwa kuwa tulikubali bila shuruti kubatizwa kuwa wanyonge. Tuauige mfano wa enzi za utawala wa ki chief ambapo wananchi walikuwa wanaporwa kila kitu in the name of royal family.
Huyu jamaa waga mpuuzi Sana,naona Sasa promotion ya Corona imekuwa overwhelmed na tozo ya uzalendo.
Nyumbu ni nyumbu tu hata Kama waga anakunywa bia
Mama anajiangusha mwenyewe. Hivi kweli mtu kama Mwingulu anafaa kuwa hata naibu waziri tu? Hivi huyu mama ''kichaa'' wa wizara ya Afya amefikaje hapo? Kosa kubwa la mama ni kuendelea na uozo aliacha Magufuli. Akitaka kuongoza vizuri ni lazima afanye maamuzi magumu sana. Akubali kubadili mfumo wetu wa utawala na jinsi tunavyopata viongozi wetu. Kwa hali ilivyo sasa hata ukimpa urais Lissu au Obama hakitabadilika kitu. Mimi naamini baada ya mwaka rais Samia atakuwa amechuja kweli kweli.Kuna watu wanamshauri huyu bibi vibaya ilimradi tu marehemu aonekane alikuwa anayaweza na asiposhtuka mapema, stori itajirudia.
Mama anajiangusha mwenyewe. Hivi kweli mtu kama Mwingulu anafaa kuwa hata naibu waziri tu? Hivi huyu mama ''kichaa'' wa wizara ya Afya amefikaje hapo? Kosa kubwa la mama ni kuendelea na uozo aliacha Magufuli. Akitaka kuongoza vizuri ni lazima afanye maamuzi magumu sana. Akubali kubadili mfumo wetu wa utawala na jinsi tunavyopata viongozi wetu. Kwa hali ilivyo sasa hata ukimpa urais Lissu au Obama hakitabadilika kitu. Mimi naamini baada ya mwaka rais Samia atakuwa amechuja kweli kweli.
Tatizo kupitishwa kwa bajeti huwa kunafanywa kama formality, hakuna mwenye nguvu ya kuizuia bajeti...wamezoea tutalamika halafu baada ya siku 2 ama 3, kelele zitapungua na maisha yataendelea tu !
Kumekucha!
Vilio vya kutoridhika na utendaji wa serikali ambavyo vimekuwapo kwa miaka mingi, hatimaye sasa vinasikika kila kona:
1. Zinazoitwa tozo za uzalendo,
2. Kodi zaidi zikiwamo kwenye mafuta ya vyombo vya moto,
3. Ongezea la nauli za mabasi na usafiri kwa ujumla kutokana #2,
4. Kuongezeka kwa mfumuko wa bei zaidi kwenye bidhaa na huduma zote kutokana na #2 na #3,
5. Nk
Kwa hakika havikubaliki. Serikali inabidi ijitathmini haraka na kufanya marekebisho mapema.
Kwamba posho za wabunge, Mawaziri, na vigogo wengine hazitambui tozo, kodi wala uzalendo hii nayo haikubaliki. Kwamba kuna wabunge bungeni kinyume cha sheria wakilipwa mabilioni ya pesa hili nalo haikubaliki. Kwamba kuna ufujaji wa pesa kwa mujibu CAG kuhusisha BOT, TPA, nk, haya hayakubaliki.
Kwamba kuna mashirika yanayozalisha hasara kwa taifa, nayo haikubaliki.
Nasi wahanga wa songombingo hizi za serikali, mambo ya kuweka maslahi ya vyama kichawa chawa yafike mwisho. Tuweke maslahi ya taifa mbele. Kwa pamoja tuwakemee wanaotaka kutufanya watwana katika nchi yetu wenyewe kwa kutanguliza ubinafsi wao mbele.
Hawa ni watumishi wetu wala si watawala wetu. Hawa ndiyo wanaotakiwa kutupigia sisi magoti yakiwamo pia makofi ya kutushangilia. Tunapaswa kuwafahamisha uvumilivu wetu umefika kikomo.
Kwa pamoja tunaweza.
Down na uchawa chawa uchwara wa vyama, wote !!!!!
Sauti yetu wanaisikia lakini hawaisikilizi, ni kama kelele za chura...hazimzuii tembo kunywa maji. Wananchi ndio tunatakiwa kutambua kuwa sisi ndio wenyenchi, hapo ndio unaweza kutegemea mabadiliko !Hadi pale watakapoisikia kauli yetu kama wananchi ndipo watapotambua nchi ni yetu na waliyo nayo ni dhamana tu kwa niaba yetu.