Sakata la Gree Miles kurudishiwa leseni,Maghembe hebu Ona Makosa yao. Ukimya wako ni Fumbo !

Nesto E Monduli

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
247
155
Wadau nimeambatanisha faili ya Pdf inayoonesha makosa yaliyovunjwa katika sheria za uwindaji na hawa jamaa lakini Wizara ikafumba macho na kuwarudishia leseni ya Uwindaji.

Profesa Maghembe amekaa kimya bila kutoa ufafanuzi wowote.Ni nani yupo nyuma yao?
 

Attachments

  • Infringements - Swahili Version.pdf
    86.2 KB · Views: 41
Back
Top Bottom