Internal
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 3,575
- 3,894
Yan nilikimbilia kuona urusi wametamka nn, paragraph ya kwanza nikajipa moyo kua ni lugha ya urusi sikupata shida nika scrow para ya pili vile vile nikarudia kule juu kuwa labda nasoma vibaya ngoma inaeleweka kurud hola, nikakimbilia kwenye coment naona nafas ya jose jamaa kajibu kama vile ameelewa, nikarud tena kupitia nikaona hapa mjanja nimekamatikaAiseeee hichi kitu nilokuwa sijakumbana nacho asee