Pamputi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 982
- 724
Wasalaam wanabodi
Kwanza nianze kwa kupongeza jitihada alizoonyesha Mh Paul Makonda katika vita dhidi ya dawa za kulevya katika mkoa wake mpaka sasa kuwa agenda ya kitaifa.
Katika vita hii ambayo imekuwa n kilio chetu kama taifa kwa mda mrefu watz bdo tumefeli na tunazid kufeli sana kwa sababu ya kuendekeza siasa na unafiki hata linapokuja suala lenye maslahi mapana kwa taifa.
Ni ukweli usiopingika kwamba ni ngumu sana kutenganisha watanzania na unafiki lakini katika hili unafiki wetu umezidi. Tumekua wepesi kukosoa na kusubiri kufeli kwa kampeni hii badala ya kupongeza na kutoa alternative kwa sehem ambapo labda makonda ameteleza
Makonda kwa nafasi yake kama mkuu wa kamati ya ulinzi na usalama mkoani kwake ametaja orodha yake watu kama 112 ambao kwke yeye huenda ndo mapapa au vidagaa au vyvyt vle ila amethubutu hata kuwataja hao he started somewhere na sisi kama watanzania tulipaswa kuendelezea hapo alipoishia makonda rather than criticising
Kitu kina kera kabisa anasimama mbunge tena akiwa ndani ya bunge kwamba ana legal immune kikatiba kabisa ya kutoshtakiwa kwa atachokisema akiwa mule bungeni Ajabu anaishia kusema tu wauzaji wapo na tunawajua ,Ni akina nani hao hata asiwataje???
Ni vema kila MTU kwa nafasi yake kabla hajakosoa list ya makonda aseme list yake ili zote zfanyiwe kazi na vyombo vyetu vya usalama. Leo anakuja mbunge anadai eti makonda hana ubavu wa kuishi marekani siku 20 kweli!!!!??? Hii ndo defence kwa kile anachokipgania makonda??
Mwisho tukubali moja kwamba ukisimama kupinga hizi harakati za makonda maana ake unasupport kile anachokipinga