Sakata la burundi wapi KUB?

Sakata la burundi wapi KUB?

jMali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
8,412
Reaction score
5,013
Eti Mbowe kama kiongozi wa upinzani bungeni na rais kivuli si anatakiwa kutoa japo maneno mawili matatu kuhusu mgogoro wa Burundi? :becky:
 
Mbowe mkuu ujui kama kilaza aongee nini zaidi ya "NCHI ITAWAKA MOTO"
 
Mbowe na Nkurunzinza ni mtu na kaka yake!
 
Sis tunamigogoro mingi ambayo hata robo hatujaimaliza KUB anamambo meng yanayoikabil nch
 
Mbowe na Nkurunzinza ni mtu na kaka yake!
Nkurunziza na JK wanaendana sana. serikali inafurahia ya Burundi ili ipate wakimbizi, halafu wasifike kimataifa ati wanakarimu. baada ya muda watpewa uraia!
 
Hivi mnadhani siasa ni kuongelea kila jambo!!!
 
Back
Top Bottom