Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Ndani ya Chama Vijana hutumika kama Recruiting Center ambapo ambapo Unategemea Vijana walelewe katika misingi ya Chama Na baadaye kuwa msaada Mkubwa kwa chama.
Ndani ya CHADEMA hali Si swali kwa Balaza la Vijana la Chadema (BAVICHA), wamepaza sauti zao na kukemea tabia ya Chama kujali Ngazi ya Juu ya Uongozi na Kusahau Chipukizi.
Akiongea Kiongozi wa Vijana hao kwa Sharti ya Kutokupigwa picha ama kutajwa jina lake alisema Moja ya madai ya Mda mrefu ni Kukosa ofisi amesema hata wanapolazimika Kutoa taarifa kwa vyombo vya habari hufadhiliwa Huduma ya Hoteli ambapo wasamalia Wema huwalipia Gharama hizo.
Alivyotafutwa kwenye Simu Mheshimiwa Mbowe alisema Chama Bado ni Kichanga na Mipango ya kujenga ofisi ya Baraza la Vijana pamoja na ile Ofisi kuu iko mezani na Chanzo cha Fedha wameshakipata Kutoka Nje ya Nchi.