Katika msimu huu wa 2022/2023 kuna klabu zimesajili wachezaji kwa gharama kubwa na wameshindwa kuonesha thamani yao halisi uwanjani lakini magazetini, mitandaoni na wanazi wa vilabu vyao wamekua wakiwapamba sana...
Mimi sijawahi kuona ubaya wa Bigirimana kwa muda ambao amecheza hakuna siku ameharibu gameKwa upande wa Yanga, ni Gael Bigirimana na Kambole tu. Tuisila Kisinda bado ni mapema sana kumhukumu.
Na huyo Kambole mwenyewe unaambiwa ana goli 3 ndani ya mechi 2 tu huko Zambia anakocheza kwa mkopo! Hivyo uwe makini. Utakuja kuyajutia haya maneno yako.
Ni mchezaji mzuri, na mwenye uzoefu. Sema tu mfumo wa timu wa kucheza mpira wa nguvu na kasi, ndiyo ulikuwa kikwazo kwake.Mimi sijawahi kuona ubaya wa Bigirimana kwa mda ambao amecheza hakuna siku ameharibu game
Unaposema wa gharama kubwa inabidi uonyeshe na gharama zao vinginevyo unakuwa unaongea vitu vya kubahatishaKatika msimu huu wa 2022/2023 kuna klabu zimesajili wachezaji kwa gharama kubwa na wameshindwa kuonesha thamani yao halisi uwanjani lakini magazetini, mitandaoni na wanazi wa vilabu vyao wamekua wakiwapamba sana....
Leo Utopolo umejitahidi, ushauri wangu umeanza kukuingiaKwa upande wa Yanga, ni Gael Bigirimana na Kambole tu. Tuisila Kisinda bado ni mapema sana kumhukumu.
Na huyo Kambole mwenyewe unaambiwa ana goli 3 ndani ya mechi 2 tu huko Zambia anakocheza kwa mkopo! Hivyo uwe makini. Utakuja kuyajutia haya maneno yako.
Game time , na Nabi ni kama hakumtaka.Mimi sijawahi kuona ubaya wa Bigirimana kwa mda ambao amecheza hakuna siku ameharibu game
pia kisinda yupo kwa mkopo ni mchezaji wa berkaneKwa upande wa Yanga, ni Gael Bigirimana na Kambole tu. Tuisila Kisinda bado ni mapema sana kumhukumu.
Na huyo Kambole mwenyewe unaambiwa ana goli 3 ndani ya mechi 2 tu huko Zambia anakocheza kwa mkopo! Hivyo uwe makini. Utakuja kuyajutia haya maneno yako.
Galasa lileNi mchezaji mzuri, na mwenye uzoefu. Sema tu mfumo wa timu wa kucheza mpira wa nguvu na kasi, ndiyo ulikuwa kikwazo kwake.
Magara yapo Caf champions leaguesimba ndio magarasa mengi huku tumeleta
Duh kwahiyo watakuwa wanashindana kupiga mabuti tu.Yaani simba siku wakijjichanganya wakamuanzisha sawa dogo na kanoute kwa pambana kwenye mechi moja basi hapo lazima kadi nyekundu ihusike kwasababu yule sawa dogo anapiga buti kushinda hata kanoute.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Very trueGame time , na Nabi ni kama hakumtaka.
Sure na Mudathir wamepewa confidence na game nyingi kuliko yeye.
Inshort kocha hajamtaka na kumvumilia. Kisinda mpk kesho anapangwa,
Gael akidouble na Yanick au Aucho anacheza vizuri sana.
Anyway mawazo yangu tu
Sawa dogo hachagui eneo la kupiga buti bora hata kanoute mda mwingine anatumia akili ila yule sawa dogo ni noma kwa kupiga buti mechi ya mwisho waliocheza simba alimpiga mtu buti karibu na box.Duh kwahiyo watakuwa wanashindana kupiga mabuti tu.