SAIKOLOJIA LEO:

Joined
Apr 6, 2024
Posts
61
Reaction score
61
🧠 COUNSELLING PSYCHOLOGY LEO:
Mada: Msongo wa Mawazo (Stress)

Client: Habari mshauri. Siku hizi nakosa usingizi, kichwa kinauma na nakasirika haraka hata kwa mambo madogo. Nina shida gani?

Counselor: Karibu sana unachoelezea ni ishara za kawaida za msongo wa mawazo (stress). Mwili na akili yako vinakwambia vimechoka ni nini hasa kinachokuwa kizito siku hizi?

Client: Pesa, kazi na familia hivi vyote kwa pamoja.

Counselor: Hivyo ndivyo stress inavyoongezeka, mambo mengi yanapokuja kwa wakati mmoja. Jaribu hatua hizi tatu hapa chini:

1️⃣ Jipe zoezi la kupumua kwa utulivu kwa kuvuta pumzi sekunde 4, halafu jitahidi kuishikilia kwa sekunde 4, halafu itoa nje polepole kwa sekunde 6. Fanya hivyo kwa kurudia mara 5.
2️⃣ Ongea na mtu unayemwamini kwani kuweka mizigo moyoni kunauongeza uzito.
3️⃣ Gawa tatizo kubwa vipande vidogovidogo Chagua jambo moja la kushughulikia leo si yote.

Client: Na nikijaribu bado sipati nafuu?

Counselor: Hapo tafuta msaada wa kitaalamu. Kuomba msaada ni ishara ya ujasiri na sio udhaifu. πŸ’™

πŸ“Œ Kumbuka msongo wa mawazo "Stress" ni ya kawaida lakini isipotibiwa inaweza kuleta madhara ya afya ya mwili na akili.

πŸ“² Wasiliana nasi:
πŸ“ž +255748951191& WhatsApp
πŸ“§ robertusjacobus1@gmail.com
🌐 Facebook | Instagram | Threads | LinkedIn: Robert James

πŸ”— Tembelea website yetu kupitia link hii kujifunza zaidi:

#CounsellingPsychologyLeo #RJCounselling #RobertJamesPodcast #AfyaYaAkili #Stress
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…