kwa kusema kweli Hamis Kigwangalla alifunikwa vibaya na Said Mtanda.. hata kwenye kujielezea utadhani alikuwa amekariri yale maneno. hilo akubali tu.. wala hakuna upendeleo hata sisi watazamaji tungeshangaa kama Hamis Kigwangalla angeshinda. akumbuke pale kilichokuwa kinaangaliwa ni uwezo binafsi wa mtu na siyo kigezo cha elimu.