Ngambo Ngali JF-Expert Member Joined Apr 17, 2009 Posts 3,517 Reaction score 1,367 Jan 29, 2011 #1 Jamani wale wajuzi wa mambo ya Tanzania naomba nieleweshwe tofauti kati ya kilimo kwanza na Southern Agriculture Growth Corridor of Tanzania. Nini madhumuni, walengwa na malengo ya kila moja wapo kama ni vitu tofauti.
Jamani wale wajuzi wa mambo ya Tanzania naomba nieleweshwe tofauti kati ya kilimo kwanza na Southern Agriculture Growth Corridor of Tanzania. Nini madhumuni, walengwa na malengo ya kila moja wapo kama ni vitu tofauti.
Ngambo Ngali JF-Expert Member Joined Apr 17, 2009 Posts 3,517 Reaction score 1,367 Jan 30, 2011 Thread starter #2 ebwanae sitaki kuamini kwamba wabongo hatujui SAGCOT, no way, nasikia obama kachip in madolari kibao kwenye hii kitu
ebwanae sitaki kuamini kwamba wabongo hatujui SAGCOT, no way, nasikia obama kachip in madolari kibao kwenye hii kitu