mgagani na nyanya vinaweza kuwa na dawa za asili za kuua bakteria. Mwambie aache kufanya hivyo.Mama nanliu huwa anasafisha uke wake kwa kuchanganya mgagani + nyanya mbivu + asali walau mara moja kwa mwezi - mnato wake sio wa kitoto. Siku nyinginezo husafisha kwa maji kama ulivoelezea
Nashindwa kukuelewa. We unacho hicho kitu unawafundisha wenzio namna ya kukitunza?? Uke hauoshwi!Kwa nini uuoshe?? Hata ukitawadha huingizi sabuni humo japo kilichopitapo kinanuka!! Sijui mmeleta wapi hii tabia ya kufua kila kitu.
Mhhhhh.... huko ni kujikaanga sasa!Kuna wale wanaoweka ginger, kin'gasti, giligilani, vitunguu swaumu, limao huko chini hao unawazungumziaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaifua mpaka sabuni? Hii ni mbaya sana. Ukute uliyenanii naye ni mmeo. Hakuna undava ka huo[emoji1433][emoji1433][emoji1433] yes hupaswi hata kuweka maji. Futa tu lala. Au nawa kwa juu tu, mambo hujisafisha yenyewe. Mimi sijawahi nuka na sijawahi tia hata maji. Watu tunadanganyana.