Umahiri wa kuogelea wapi? Mashindano gani? Alishinda? Jina nani? Habari yako haijakamilika
FYI nisingecomment kabisa kama angekua mweupe, mimi Ni mbaguzi wa rangi number1. Sijui nimeuliza nini kibaya hapo kama sio wewe uliejaa negativity. Umesema kijana majiri Ni vibaya kumjua mtz mwenzetu mahiri kwenye nyanja fulani. Ni bora usilete kabisa habari kama hutaki afahamike
Kichwa chako na kinywa chako kimejaa negative tu, na chuki binafsi dhidi yako wewe mwenyewe hakuna kingine, hapo ningeweka picha ya Mzungu au Muhindi usingeuliza hayo maswali uliyouliza!
Mpendwa easy !! Poza hasira Mkuu... Acha tuwape moyo na nguvu vijana wetu asaa huko mbelekuna mustakabli mpana wa kushinda ...FYI nisingecomment kabisa kama angekua mweupe, mimi Ni mbaguzi wa rangi number1. Sijui nimeuliza nini kibaya hapo kama sio wewe uliejaa negativity. Umesema kijana majiri Ni vibaya kumjua mtz mwenzetu mahiri kwenye nyanja fulani. Ni bora usilete kabisa habari kama hutaki afahamike
Sikatai ila kanishambulia bila sababu za msingi wakati nimeuliza maswali ya msingi kabisa. Tutamsapoti vp kama hatumjui hata jina. Hatujui anashiriki nini ili tuanze kufuatilia, kama ni picha ya mtu akiogelea kujifurahisha/mazoezi/mafunzo pia angesema na kama hataki afahamike aseme sio kutoa habari robo.Mpendwa easy !! Poza hasira Mkuu... Acha tuwape moyo na nguvu vijana wetu asaa huko mbelekuna mustakabli mpana wa kushinda ...
@barabarosa ahsante kutujuza tuwena roho za kimichezo Sportsmanship... Hongera kwa Vijana wetu shujaa!!
Mkuu ..mezea tu.. Bingwa tujenge New TZ !!Sikatai ila kanishambulia bila sababu za msingi wakati nimeuliza maswali ya msingi kabisa. Tutamsapoti vp kama hatumjui hata jina. Hatujui anashiriki nini ili tuanze kufuatilia, kama ni picha ya mtu akiogelea kujifurahisha/mazoezi/mafunzo pia angesema na kama hataki afahamike aseme sio kutoa habari robo.
Kwahiyo we unaona habari yako imekamilika? Acha wenge bhanaKichwa chako na kinywa chako kimejaa negative tu, na chuki binafsi dhidi yako wewe mwenyewe hakuna kingine, hapo ningeweka picha ya Mzungu au Muhindi usingeuliza hayo maswali uliyouliza!