Safaricom Modem

leh

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Posts
829
Reaction score
376
Juzi kati nimedondosha modem yangu kwa chai na despite my best efforts ikafa kabisa. so nimekuwa sipo hewani siku kadhaa. niliazima modem ya jirani juzi, na usiku huo ikani impress sana (6GB kuanzia 5am mpaka 8am downloads) na kesho yake speed ikawa chini kama kawaida. nilivyoulizia hapa town, nimeambiwa ni 50,000 Tshs. swali langu ni kwamba, is it worth it? maana hiyo ni hela ya modem mbili kabisa.

P.S (@good guy na wengine wengi walionitafuta hapa JF nawaomba radhi nimekuwa sipo but I'll holla back)
 
hiyo modem iliyo ku impress ya jirani yako ni model gani na speed gani? ni zaidi ya hizi zetu 7.2Mbps? na upo kenya au ? ni mtando gani huo unouza hizo modem za elfu 50?
 
afu unaniudhi kweli wewe, sijui umeenda kenya, nakutafuta simu lako halipatikani, au umepata mke arusha?
 
hiyo modem iliyo ku impress ya jirani yako ni model gani na speed gani? ni zaidi ya hizi zetu 7.2Mbps? na upo kenya au ? ni mtando gani huo unouza hizo modem za elfu 50?

huawei e173. speed ni zile zile za ya kwangu ya zamani (max 800kb/s) ila nimekuwa impressed na uwezo wake wa kushikilia mtandao coz inapiga kazi hadi mchana around saa nne (10am) kwa speed nzuri wakati ya kwangu ilikuwa ikifika around six in the morning inashusha speed. sio mtandao ni duka la simu hapa arusha mjini ambapo wameweka modem za safaricom
 
afu unaniudhi kweli wewe, sijui umeenda kenya, nakutafuta simu lako halipatikani, au umepata mke arusha?


lol braza @C6. nimepata mke anaitwa Xbox na tayari tuna mtoto anaitwa Splinter Cell: Blacklist. week ijayo tunaweza pata mtoto wa pili tutamwita PES 14:target:
 
nilidhani unazungumzia zile za zantel za e3131 zenye speed up to 21Mbps.
 
nope kaka Paje, naona hii ni sawa na hizi za voda. au ni kwamba voda ndo wameweka bandwith speeds hapo? ushawahi kuzidi 900kb/s?
 
Last edited by a moderator:
hapa Moshi hizo modem za safaricom ni tsh 35000/- jina la duka nimelisahau lipo mitaa ya TRA na TANESCO mjini
 
asante kwa hiyo taarifa kaka nxon maana 50k ni wizi mtupu. nitafuata moshi kesho
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…