Safari

God bell

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2011
Posts
590
Reaction score
211
Wapendwa habari za leo. Naombeni kujua nauli ya kutika Arusha hadi Uganda Kampala.

Nataka nisafiri kwa bus nina shughuli binafsi naenda kufanya kule.
Naomba pia nipate ufafanuzi wa sehemu ya kulala yaani Lodge ambaho sio ghali sana. Iwe tu ya gharama za kawaida kulala
 
Panda bas mpaka bukoba,kutoka bukoba mpaka kampala ni masaa matano tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…