Waliopo Dar, Mwanza, Mbeya n.k na waliosafiri kuanzia jana kutoka maeneo hayo tupeni ukweli wa agizo la waziri Lugola kuruhusu mabasi ya mikoani kuanza safari saa 11 alfajiri, vipi ni kweli safari zimeanza?
Waliopo dar, mwanza, mbeya n.k na waliosafiri kuanzia jana kutoka maeneo hayo tupeni ukweli wa agizo la waziri Lugola kuruhusu mabasi ya mikoani kuanza safari saa 11 alfajiri, vipi ni kweli safari zimeanza?