hiyo ya 11 ni pale mikindani, na hicho chungu ni balaa na kina historia ndefu. uzito wake waweza kufikia kilo mia maana wadau tulijaribu kukibeba tukashindwa. hicho kilitulimika kupima ubavu wa watumwa kuona kama wanafaa kutumikishwa. akibeba hicho huyo ni KIDUME!
hiyo ya mwisho ni pale bandari club na bendi ya nyumbani ikitumbuiza. ilikuwa burudani tupu
hahahahahah kwa kweli huyu mlinzi kaniacha hoi mno, hawa jama wakitoka lindoni huwa wanafanya tena kazi mchana kutwa, usiku anakuja linda matokeo yake ndo haya
Asante kwa picha nzuri mkuu, ina sikitisha sana kuona bara bara ni mbovu kiasi tena,Mtwara kumesahulika sana kama kigoma umeme wenye wa shida yaani hadi kero kuishi huko.
Asante kwa picha nzuri mkuu, ina sikitisha sana kuona bara bara ni mbovu kiasi tena,Mtwara kumesahulika sana kama kigoma umeme wenye wa shida yaani hadi kero kuishi huko.