nilijua nitakuta kuna jiji kubwa lenye hadhi ya kuwa jiji haswa la kiafrika, nilichokikuta ni mji sawa na Arusha au mwanza, isipokuwa wametuzidi tu usafi na barabara kidogo wameziboresha. ila ukija kwenye real estate/majengo na skyscrapers, kigali haina tofauti na arusha na mwanza. kama arusha ikijitahidi kujenga barabara na viunga vya kijani pamoja na usafi, hakika kigali iko chini kuliko arusha. arusha kuna mzunguko mzuri zaidi kipesa kuliko kigali.
Karibu ufike Goma basi ni dollar 7 kwa basi mpaka Gisenyi ukifika hapo umefika Goma
Gisenyi iko Goma?!Karibu ufike Goma basi ni dollar 7 kwa basi mpaka Gisenyi ukifika hapo umefika Goma
Ukiacha viunga vya Remera Kigali ni ovyo tu kuna maeneo kama Nyabugogo huwa napafananisha na mabatini Mwanza
nilijua nitakuta kuna jiji kubwa lenye hadhi ya kuwa jiji haswa la kiafrika, nilichokikuta ni mji sawa na Arusha au mwanza, isipokuwa wametuzidi tu usafi na barabara kidogo wameziboresha. ila ukija kwenye real estate/majengo na skyscrapers, kigali haina tofauti na arusha na mwanza. kama arusha ikijitahidi kujenga barabara na viunga vya kijani pamoja na usafi, hakika kigali iko chini kuliko arusha. arusha kuna mzunguko mzuri zaidi kipesa kuliko kigali.
Hizo sehemu hata unipe pesa siendiKaribu ufike Goma basi ni dollar 7 kwa basi mpaka Gisenyi ukifika hapo umefika Goma
Kwani wanatumia dollar Rwanda?
nilijua nitakuta kuna jiji kubwa lenye hadhi ya kuwa jiji haswa la kiafrika, nilichokikuta ni mji sawa na Arusha au mwanza, isipokuwa wametuzidi tu usafi na barabara kidogo wameziboresha. ila ukija kwenye real estate/majengo na skyscrapers, kigali haina tofauti na arusha na mwanza. kama arusha ikijitahidi kujenga barabara na viunga vya kijani pamoja na usafi, hakika kigali iko chini kuliko arusha. arusha kuna mzunguko mzuri zaidi kipesa kuliko kigali.
Fly Over Je!!!?? Kwani Rwanda Ukubwa Wake UKOJE!!!!??
Rwanda majanga matupu, kila kitu kwa foleni hadi stendi mnasubiri magari mkiwa mmepanga foleni utadhani mpo kindergarten. Nilipata tabu sana kuzoea na kila Mara nilipamiss tz.Mkuu umnikumbusha Nyabugogo, nimelala hapo siku tatu, pana pilika kibao.
Kigali ni mji mdogo sana ila msafi balaa. Kuna srhemu wanapaita VILLE yaani City Centre hapo ni pazuri sana, majengo mpya yanajengwa, kuna kituo kikali cha daladala nk.
Lakini maeneo mengine viungani kawaida sana.
Ulitaka ugombanie magari kwa kupitia dirishani au?Rwanda majanga matupu, kila kitu kwa foleni hadi stendi mnasubiri magari mkiwa mmepanga foleni utadhani mpo kindergarten. Nilipata tabu sana kuzoea na kila Mara nilipamiss tz.
Uko sahihi, tatizo lao wanajisifia sana. Wanyarwanda wana maisha magumu sana, bei za vitu huko ni za kufa mtu. shati la kawaida utaambiwa linauzwa Rfr 25,000. unajua ni sh ngapi hiyo? ni laki na ushee, shati hilohilo tanzania linauzwa sh. 25,000. ni mji bomu kabisa kuishi.nilijua nitakuta kuna jiji kubwa lenye hadhi ya kuwa jiji haswa la kiafrika, nilichokikuta ni mji sawa na Arusha au mwanza, isipokuwa wametuzidi tu usafi na barabara kidogo wameziboresha. ila ukija kwenye real estate/majengo na skyscrapers, kigali haina tofauti na arusha na mwanza. kama arusha ikijitahidi kujenga barabara na viunga vya kijani pamoja na usafi, hakika kigali iko chini kuliko arusha. arusha kuna mzunguko mzuri zaidi kipesa kuliko kigali.
Madini ya kuiba wanayo, walikuwa wanaiba DRCongo la kuya export na kujifanya yanatoka Rwanda. baada ya UN kupambana nao wakawa wameishiwa nguvu ya ku export madini hayo. Pesa za madini ya wizi ya DRCongo ndio yamejenga Kigali. Vibaka wakubwa hao.Kwa hiyo Unashangaa nini? hujui Kuwa wamepata uhuru 1994? Halafu hawana raslimali kama za Tanzania? Arusha ni mji wa kitalii na madini pia, sasa Kigali hayo yapo?
Hata hivyo wamejitahidi sana kulingana na hali yao.