BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
Nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu, ngoja wadau wengine nao waje na mawazo yao1st to reply,,, kenya nenda kanunue simu uje kuuza hapa,,utakua tajiri baada ya miezi 6,/ ila kuzipitisha bila kulipia wakikukamata unakua masikin saa hyo hyo,na ukilipa ushuru haswa hupat faida kubwa so akil kumkichwa
1st to reply,,, kenya nenda kanunue simu uje kuuza hapa,,utakua tajiri baada ya miezi 6,/ ila kuzipitisha bila kulipia wakikukamata unakua masikin saa hyo hyo,na ukilipa ushuru haswa hupat faida kubwa so akil kumkichwa
Thank you mkuuKalete Blue Band, au Camera na Sim Used,