Safari yangu jimbo la Morogoro Kusini

Safari yangu jimbo la Morogoro Kusini

TAWA

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
3,674
Reaction score
1,572
Kuanzia tarehe 30/12/2013 nlikuwa katika safari yangu ya likizo kuelekea Nyingwa Matombo Morogoro, eneo hili lipo ndani ya jimbo la Morogoro Kusini.

Hali ni mbaya kwa ujumla, maisha ya watu yapo chini mno, watu hawa wanahitaj ukombozi haraka.

yafuatayo yalinishangaza sana:

1. Kuna tozo ya maji ya mito, chemchem, mifereji, pamoja na vijito vyote vinavyopta ktk makaz ya watu. kila kaya inatakiwa kulipia 1,000/= bila wahusika kutoa ufafanuz inafnya kazi gani.

2. Hakuna barabara ya uhakika toka tawa kuelekea huko km 94.
 
we kwenu wapi tukuvue nguo hapajanvini

watu wengine bana, sasa kusema sehemu fulani maisha ni ya chini ni kuwadhalilisha wenyeji!

ndugu yetu alichojaribu ni kuonesha changamoto znazowakabir watz wenzetu ili wenye uwezo wa kufuatilia wafatilie ili zpatiw ufumbuzi afu we cjui unachangia nn? kama huna cha kuchangia unakaa kimya, au we ndo unaewatoza hzo buku-buku!.

pole kama amekuharibia dili.
 
Wape pole. sisi huku barabara za lami mpaka mlangoni. maji bure tangu wakati wa mkoloni, umeme kila nyumba kuanzia himo marangu mtoni mpaka rombo bila kusahau machame, uru, hai, sanya.
 
Jipangeni mlikamate jimbo magamba wamechoka hata hapa muheza gamba la jimbo hili limechoka sana
 
Npo nyingwa hapa tena Leo kuna hospital kubwa lakini hakuna hata mkunga Wa jadi wala dawa.
 
Nani msemaji wa jimbo hilo?wa awali na sasa?kama sasa ni mtu Anaitwa Omari na hakika atawasogeza pazuri
 
Kuanzia tarehe 30/12/2013 nlikuwa katika safari yangu ya likizo kuelekea Nyingwa Matombo Morogoro, eneo hili lipo ndani ya jimbo la Morogoro Kusini.

Hali ni mbaya kwa ujumla, maisha ya watu yapo chini mno, watu hawa wanahitaj ukombozi haraka.

yafuatayo yalinishangaza sana:

1. Kuna tozo ya maji ya mito, chemchem, mifereji, pamoja na vijito vyote vinavyopta ktk makaz ya watu. kila kaya inatakiwa kulipia 1,000/= bila wahusika kutoa ufafanuz inafnya kazi gani.

2. Hakuna barabara ya uhakika toka tawa kuelekea huko km 94.

Eti wanahitaji Ukombozi.Lofa na wapumbavu by Beni.Kweli Beni hakukosea kuwaita malofa wale wote wanaolitumia neno hili.Umeanza vizuri then ukachanganya na ubavicha
 
Back
Top Bottom