Zack Abdul JF-Expert Member Joined Mar 9, 2026 Posts 625 Reaction score 559 Friday at 10:44 AM #1 Safari ya maisha ni kubwa kuliko malengo na ndoto zetu, unaweza kufanikisha mengi tu ambayo hayakuwa malengo yako wala ndoto yako... Endelea na safari hatakama unaona hufikii malengo kwa sababu sio lazima utokee kwenye mlango ulio utegemea...
Safari ya maisha ni kubwa kuliko malengo na ndoto zetu, unaweza kufanikisha mengi tu ambayo hayakuwa malengo yako wala ndoto yako... Endelea na safari hatakama unaona hufikii malengo kwa sababu sio lazima utokee kwenye mlango ulio utegemea...