Cesc Henry Sn
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 217
- 125
ngoja wajeHabari wakuu,
Mwishoni mwa wiki iliyo pita kulikuwa nna tetesi jamaa kutembea TZ ila haikuwa na uhakika kutokana na picha zilizo kuwa zinasambaa mitandaoni kuto jitosheleza kama ni kweli yuko hapa au nchi jirana hadi ilipo thibitishwa.
Cha kusikitisha serikali yetu upande wa wenye dhamana ya kusimamia maswala ya utalii walishindwa nini kutumia nafasi kumkaribisha hata kama alikuja kisiri siri ili kupata nafasi tukamtumia kututangaza nchi yetu hasa kwa yeye mwenye wafuasi milioni 37 kwenye mtandao wa Instagram huku watu maarufu kama Ronaldinho wakicomment kwenye post hizo
Sababu kinacho tia aibu ni hata post zake kwenye mtandao wa Instagram haja mention hata kidogo wapi alipo zaidi ya kusifia na kufurahishwa na mandhari aliyo kuwepo.
Yaani unataka akufanyie promotion bure ?wakati yy kaingia gharama za safari ya kutaliiUyu Jamaa anawivu sijui lkn wa Tz wamemfollow naku kuonyesha watu kuwa yupo Tanzania ila bado aitoshi tuongeze juhudi wataelewa tuuh
Angefanya promotion jamani,Beckam selfish sana aiseeYaani unataka akufanyie promotion bure ?wakati yy kaingia gharama za safari ya kutalii
Yaani unataka akufanyie promotion bure ?wakati yy kaingia gharama za safari ya kutalii
Yy becks ametaka safari iwe na privacy kwake pesa sio issue, kumbuka issue kama usalama wake na familyHata kama sio kupromote bure, ila jamaa zetu wangekuwa wanajua kutumia fursa kwanini wasimfanyie bure kila sehemu atakayo tembelea... Tutakuwa tumeingiza mangapi?
Hata hivyo amefanya inderect kile kitendo cha kuweka picha na watu kucomment sio mbaya , mbona will smith , abromovich hawakuweka picha walivyokuja ? No one knows kama walifika bongoAngefanya promotion jamani,Beckam selfish sana aisee
Ameshalipia gharama zote mpaka za kiberiti atakachotumia hata mwezi mzima kabla hajaja.. Kuja ni kukamilisha ratiba tu... Tungeinitiate deal kuanzia yupo kwao huko ndo tungekua tumefanya la maanaHata kama sio kupromote bure, ila jamaa zetu wangekuwa wanajua kutumia fursa kwanini wasimfanyie bure kila sehemu atakayo tembelea... Tutakuwa tumeingiza mangapi?