Safari lager waleta wezesha,kutoa nyenzo kwa wajasiliamali wa kati na wadogo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Safari lager waleta wezesha,kutoa nyenzo kwa wajasiliamali wa kati na wadogo.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by raia tz, Dec 13, 2011.

 1. raia tz

  raia tz Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  HABARI ZA LEO WAKUU,SAFARI LAGER WAMETENGA TSHS 200MILLIONS KATIKA PROGRAM YA WEZESHA.

  1.WAJASILIAMALI WADOGO NA WAKATI INABIDI WAAPPLY,ILI KUINGIA KWENYE SHINDANO.

  2.NYENZO ZA BIASHARA ZITATOLEWA KWA WATAKAOSHINDA.

  3.FOMU ZINAPATIKANA KWENYE VITUO VYA TBL,DEPOT ZAO,WASAMBAZAJI WAKUBWA NA WEBSITE www.wezeshwa.co.tz

  4.shindano limeanza NOV 23 YEAR 2011-MARCH 2 YEAR 2012

  WADAU TUCHANGAMKE!!!!!!!!!!!!!!!!!!! NAWASILISHA


  SOURCE:CLOUDS FM JAHAZI,LEO TAR 13 DECEMBER 2011
   
Loading...