Saed Kubenea: Ndumilakuwili mbobezi


Kwa akili yako hii bora umeondoka.
Maana ni hasara tupu na unaonyesha ni malaya wa vyama.
 
Tunapenda kutumia Matusi ... lakini kumbukeni nani aliyemumwagia Kubenea Tindikali? Leo huyo huyo ndo Shujaa wake...Nadhani hata magazeti yake...saivi n ya udaku tuuu

Boss wao hao Nyumbu ndio alimmwagia tindikali
 




Kwahiyo?????
 
Atakuwa Makonda huyu bila shaka. Kubenea jembe wewe soma Uhuru, raia Tanzania, habari leo ila huwezi elewa habari za makali wanasoma great thinkers
 

wana jf msisahau pia kuwa, kuna watu wanalipwa ili kuandika maada hizi na ukisoma sana kwa undani unagundua kuwa nikama ni maruhiano ya maneno yanayoendelea kwa pande mbili ili kuchafuana . nafikiri wae great thinker wananielewa zaidi...ngoja tusubiri tuone hii game itaisha vipi kati ya pande mbili
 

Navuta taswira ya Kubenea akitoka jikoni kwa Dr Slaa huku ameshika finyango mbili za nyama,ama kweli utunzi ni kazi inayohitaji kukwatwa mshipa wa aibu!
 
Chadema imejaa wanafiki ....imewaweka njia panda wale waliokuwa wakijitoa kwa nia njema na uzalendo ....Binafsi nimeachana na magazeti ya kina kubenea ....
 
hata mpumbavu akinyamaza uhesabiwa hekima.akitubu midomo yake uhesabiwa ufahamu ;Mithali 17;28
 
Chadema imejaa wanafiki ....imewaweka njia panda wale waliokuwa wakijitoa kwa nia njema na uzalendo ....Binafsi nimeachana na magazeti ya kina kubenea ....

Gazeti la makala pekee ninalonunua ni Raia Mwema....kule unakutana na waandishi nguli kama

Ulimwengu, Majid, Mihangwa, Lula nzali mwananzela, Chahali, Ahmed Rajabu, Karugendo, Mfaume bila kumsahau Zitto Kabwe .....kule ull never find biasness.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…