Saed Kubenea: Ndumilakuwili mbobezi

JiPu limetumbuliwa lazima upige kelele endeleeni kumlea huyo kanjanja ila arudi shule Kwanza

Shule Tanzania haziwahi kusaidia kitu hata mchakato wa katiba ulisiginwa na hao hao mnawaita wasomi , Nchi hii wanaojiita wasomi ndiyo wezi na Mafisadi wakubwa .
 
Wasomi wa Tanzania ni tofauti na wasomi wa Nchi zingine kwani wengi wamesomea Ufisadi na kujinufaisha binafsi hakuna msomi mwenye Uchungu na Nchi hii wengi wanatumia Usomi wao kuliibia Taifa .
 
...kwanini usijiite mtanzania ukaamua kujiita muingereza?! hujielewi wala hueleweki!
 
Nyumbu ni ccm ambao Nchi ina miaka 54 pasipo maendeleo lakini bado wanaishi Kwa matumaini kuwa ipo siku mungu atashusha muujiza kila kitu kitakaa sawa ,

Topic inahusu mnafiki Kubenea, ccm imetoka wapi, manyumbu bhana

Magufuli anasema ni kazi tu ndio itashusha miujiza sio kuzungusha mikono na kusema mabadiliko.
 
Mwanasiasa yeyote si wa kuaminika.

Kubenea nilishaachana naye kama nilivyoachana na CDM, Lissu, Lowassa, Zitto, Mbowe na CCM.

Nimebaki sina hata mwanasiasa ninayemwamini.

Nafanya yangu, hawa vigeu geu wa flani ni fisadi leo hafu kesho ni msafi tupa kule.
 
..makala ya Kubenea kwenye mawio ya leo imewatoa utumbo,mkaona mje mbio mbio kumtetea bosi wenu anaeutafuta uenyekiti wa PAC, kwa kumlamba miguu muhongo,yule wa Escrow!!
 
Topic inahusu mnafiki Kubenea, ccm imetoka wapi, manyumbu bhana

Magufuli anasema ni kazi tu ndio itashusha miujiza sio kuzungusha mikono na kusema mabadiliko.

...hebu soma mawio la leo ndio utajua hii habari wameitoa wapi,kwa kifupi bosi wao wa kigoma kachanwa vizuri sn,ndio kawatuma hawa misukule waje kuwanga hapa,aya karibia 6 za mwanzo zote wame copy na ku paste toka kwenye mawio la leo..
 
Topic inahusu mnafiki Kubenea, ccm imetoka wapi, manyumbu bhana

Magufuli anasema ni kazi tu ndio itashusha miujiza sio kuzungusha mikono na kusema mabadiliko.

Nyumbu ni ccm hata useme nini hakwepi Hilo hapo wewe Nyumbu mwenyewe rohoni unajisuta .
 
Last edited by a moderator:

Bado upo Kwa Nape na Membe nakujua sana lakini hakuna Shaka Kama umeamua kujitoa kwenye siasa .
 
Muandishi asiye na ajira katika harakati zake.kaombe kazi UHURU utapata tu.
 
Kama kuna mtu bado anamuamini Kubenea akapimwe akili.
 
pumba,, pumba, hizi ni pumba zilizopitiza zaid ya pumba

kubenea na uenyekiti wa PAC wapi na wapi na anajuaje kama atateuliwa na huyo zitto kwa hiyo zitto ni mwenyekiti wa PAC wa kudumi? narudia tena pumba pumba pumba pumba na ni ujinga kuandika likitu lirefu halafu halafu maudhui yake ni ya kusadikika..
 
Last edited by a moderator:
..makala ya Kubenea kwenye mawio ya leo imewatoa utumbo,mkaona mje mbio mbio kumtetea bosi wenu anaeutafuta uenyekiti wa PAC, kwa kumlamba miguu muhongo,yule wa Escrow!!

Wewe umeshindwa hata kuchambua ukweli na uongo tuambie kipi ambacho anasingiziwa huyo msaka fursa?
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni Nyumbu umeshindwa hata kuchambua ukweli na uongo tuambie kipi ambacho anasingiziwa huyo msaka fursa?

..Kati ya Kubenea na bosi wako wa mwandiga nani msaka fursa?! anautafuta uwenyekiti wa PAC kwa kumlamba miguu muhongo,yule wa Escrow!!!
amewatuma mje kumsafisha huku,mmekuja mbio mbio, hata hamjui mumtetee vipi.
 
Last edited by a moderator:
Bado upo Kwa Nape na Membe nakujua sana lakini hakuna Shaka Kama umeamua kujitoa kwenye siasa .

Sasa mkuu Nape na Membe si ni wanasiasa?

Wote walewale tu, kuchafuana ndo mtindo wa wanasiasa.
 
...hebu soma mawio la leo ndio utajua hii habari wameitoa wapi,kwa kifupi bosi wao wa kigoma kachanwa vizuri sn,ndio kawatuma hawa misukule waje kuwanga hapa,aya karibia 6 za mwanzo zote wame copy na ku paste toka kwenye mawio la leo..

Mbona unapiga kelele imeingia nini?
 
Wewe ni Nyumbu umeshindwa hata kuchambua ukweli na uongo tuambie kipi ambacho anasingiziwa huyo msaka fursa?

Nyumbu ni ccm ambao miaka 54 Nchi haina maendeleo lakini wanaishi Kwa matumaini kuwa ipo siku mungu atashusha muujiza kila kitu kitakaa sawa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…