Saed Kubenea: Ndumilakuwili mbobezi

Sasa mpeleke mahakamani ili tujue kwamba kweli Kubenea ni Ndumilakuwili. Sio unakuja kupotezea muda humu. Sisiemu yote imeoza wenye akili ndiyo wanaelewa. Mazuzu tu kama wewe ndiyo yamebaki.
 
Kubenea ni mchumia tumbo, unategemea nini zaidi ya kuchumia tumbo lake na "kula matapishi yake"
 

Kubali kataa ccm ni Nyumbu wakubwa tena wale wa Serengeti , angalia Serikali iliwagawia viwanja mabondeni ikapokea Kodi za viwanja na kuweka mawe huduma za maji , umeme na ofisi za ccm huko wamekula pesa zao miaka yote hawakujali kuwa wapo bondeni leo wamewabomolea nyumba tena wamevunja hata zile ambazo hazipo kwenye maeneo hatarishi sasa kesi zinaanza Mahakama , ccm wote ni Nyumbu ndiyo maana mmeshindwa kung'amua kuwa ili Nchi iwe na maendeleo lazima kuwepo na maadili ya kitaifa yaani kuanzia kwenye familia , mtaani nk, Wale wote ambao eti watakuwa viongozi wa kesho wanavaa milegezo kata k, vimini na vinguo vya hovyo Magufuli anaogopa kuthubutu kukemea Kama Uganda unategemea nini kesho? Ni vigumu Nchi kupiga Hatua Kama mila na desturi na maadili hakuna .
 
Last edited by a moderator:
Nyumbu at It's best..... Kweli si kweli?.

Wewe kijana wa Lumumba mshauri mwezio Seif Rashid awe anaweka na nyaraka ambatanishii..

Round hii hivyo vi buku7 vimefyekwa mnekua kama mapopo mnatafuta pakufiidia..jipangeni upya then mje tema..mai..ti
 
Last edited by a moderator:
watanzania wengi wenu ni wanafiki na hampendi ukweli.....huo ndio ukweli.
 
Inasimamia katika kuwaletea Ukombozi wa Ki Fikra Ma Taahira kama wewe

Mkuu usibishane na hii MiZoga inayokamuliwa mijipu..
Dr.wao anaikamua tuu hawajielewii wamebakia kuwanga tuu..
 
Last edited by a moderator:
Sasa mpeleke mahakamani ili tujue kwamba kweli Kubenea ni Ndumilakuwili. Sio unakuja kupotezea muda humu. Sisiemu yote imeoza wenye akili ndiyo wanaelewa. Mazuzu tu kama wewe ndiyo yamebaki.

Msukule huu, ewe Mwenyezi Mungu mjaalie akili zaidi ya zile za kufahanu msalani tu. Huyu nyumbu akili zero kabisaa mweupeee kichwa anafungia nywele.

Ni mpuuzi kuliko wapuuzi wote walio jf, Mungu msaidie.
 

Huku ni kupoteza muda na energy. Ningemwelewa mwandishi wa makala haya badala ya kuandika angefanya usafi nyumbani kwake.
 
Mfumo wa ccm ni kulea Tabia mbovu kutetea Ujinga kupenda uchakachuaji slop nk , viongozi wengi wanapenda michepuko na hakuna Waziri wala katibu mkuu kiongozi anaweza kujitokeza hadharani akathubu kukemea Uvaaji wa hovyo hovyo unaokuwa Kwa kasi Nchini , Rais mseveni yeye kathubutu kupiga marufuku Uvaaji mlegezo kata K na vinguo vya hovyo hovyo , Hapa Tanzania Waziri wa Utamaduni anaogopa pia Magufuli hawezi kuthubutu Kwa sababu wanadai Wavaaji wa hovyo wote ni wapiga kura wao na wanawaandaa kuwa viongozi wa kesho. ! Hivi hapo unategemea maendeleo Tanzania ?
 
Msukule huu, ewe Mwenyezi Mungu mjaalie akili zaidi ya zile za kufahanu msalani tu. Huyu nyumbu akili zero kabisaa mweupeee kichwa anafungia nywele.

Ni mpuuzi kuliko wapuuzi wote walio jf, Mungu msaidie.

Ukishamaliza nenda Lumumba ukachukue buku saba yako. Unawafanyia kazi nzuri jitahidi wanaweza kukupandisha cheo.
 
Umewagusa Taco wenye mahaba na SK plus CDM. Ingawa sijafanya utafiti lakini mtiririko wa maelezo yako umejaa ukweli. Asante kwa kutuonyesha sura mbali mbali za Mr.Opportunist
 
Huku ni kupoteza muda na energy. Ningemwelewa mwandishi wa makala haya badala ya kuandika angefanya usafi nyumbani kwake.

JiPu limetumbuliwa lazima upige kelele endeleeni kumlea huyo kanjanja ila arudi shule Kwanza
 
Chadema inasimamia misingi gani wewe Nyumbu?

Nyumbu ni ccm ambao miaka 54 Nchi haina maendeleo bado wanaishi Kwa matumaini kuwa ipo siku mungu atashusha muujiza kila kitu kitakaa sawa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…