Saed Kubenea - Mapendekezo ya Katiba Mpya

kweli kabisa maoni yameenda shule na ya mtu aliye kaa na kufikiri, sio mambo ya mgombea binafsi, utawala wa majimbo. keep it up bro.
 
hivi kwa nini KUBENEA asianzishe blog????? mi nadhani hata blog ingetosha kuwalipua hawa manyang'au
 
Yote ni vema tu. Ila I am missing Mwanahalisi, aliyelifungia alaaniwe.
 
Naunga mkono hoja na mapendekezo ya Kubenea lakini aongeze kuwa katiba ibainishe kuwa wale wote waliomadarakani kwa kuchaguliwa, wawajibike kwa kushitakiwa kwa makosa yao waliyotenda wakiwa ofisini hata baada ya muda wao wa utendaji kwisha!!
 
Kubenea ni mwandishi wa ukweli asiyeendekeza njaa. Tuna miss sana makala motomoto za mwanahalisi. Ipo siku litarudi tu
 
Huyu jamaa hua namuota yaani tangu wafungie mwanahalisi hua sisomi gazeti.kweli ccm wahuni sanaa lakini time will tell
 
haya ni mabo ya msingi na stahiki

nalimi miss MWANAHALISI
 
Good idea amejaribu kugusa kila nyanja naamini kama kweli tume ya mabadiliko ya katiba wanania ya kutupatia katiba tunayohitaji basi watafanyia kazi mawazo ya kubenea nimemic sana gazeti la mwanahalisi.
 
kaka kubenea pole sana kwa yote BENARD MEMBE aliyo kufanyia ipo siku atakutafuta na atakupigia magoti.usife moyo watanzania tunatambua mchango wako.
 
hongera sana kubenea tanzania yahitaji waandishi wazalendo kama wewe tunalimiss sana gazeti la mwanahalisi na tupo nawe kipindi hiki kigumu kwa wapenda haki na wadau wakubwa wa gazeti hili.
 
Naunga mkono hoja na mapendekezo ya Kubenea lakini aongeze kuwa katiba ibainishe kuwa wale wote waliomadarakani kwa kuchaguliwa, wawajibike kwa kushitakiwa kwa makosa yao waliyotenda wakiwa ofisini hata baada ya muda wao wa utendaji kwisha!!

Katiba itamke kuwa mikataba yote iliyofikiwa kwa njia haramu ya rushwa ni batili. Huwezi kuhalalisha jema kwa kutenda ovu.
 
Ya aina gani?

Mfano Zanzibar - kuna baadhi ya wenye SIASA kali hawapendi HOTELI za KITALII na wakati ndio MOJA ya CHOMBO kinachoipatia SERIKALI ya Zanzibar FEDHA za KIGENI
 
Kubenea ameshindwa kufungua gazeti lingine? Anasubiri hadi lin Mwanahalisi ifunguliwe? Nimelimisi sana mwanahalisi!
 


Kama ume ipenda,chukua kipengele kilicho kufurahisha uki wakilishe
kama maoni yako ili kuongeza wingi wa watu kuhusiana na hoja husika.

copy,paste hapa Maoni yako

Kesho ndio mwisho,fanya haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…