Ofisa huyu wa juu wa Polisi alisimamishwa kazi kwa kupewa likizo ya mwezi mmoja kusubiri maamuzi ya Mh. Rais. kuna mwenye taarifa za maamuzi yaliyotolewa? au mwezi mmoja haujesha?