Zawadi B Lupelo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,549
- 3,722
Kutoa si utajiri , ni moyo.Wanajamvi salaam!
Nimeshangazwa sana kupata habari kwamba tajiri Sabodo aliyekuwa mfadhili wa vyama vya upinzani kwa muda mrefu ametangaza kutokuwafadhili CHADEMA tena na badala yake atamsaidia JPM kuwekeza mkoani Dodoma.
Sina tatizo na Sabodo kuwekeza ama kumsaidia Magufuli la hasha ila nataka niwatahadharishe usanii wa huyu mzee.
Kuna kipindi aliwaahidi CHADEMA kuwajengea chuo cha siasa kwa ajili ya kuandaa viongozi. Chama kilitafuta eneo alipotafutwa Sabodo aliingia mitini hata hela ya upembuzi yakinifu ambayo haizidi bilioni nne za kitanzania hakutoa.
Leo hii mtu kama huyu huwezi kumuamini tena kwa ahadi za matrilioni hata kidogo anatafuta umaarufu wa bei nafuu tu.
Ni moyo lakini mzee hana kiasi hicho cha pesa. Na pia siyo wakati wote anatimiza ahadi huyu mzeeKutoa si utajiri , ni moyo.
Eleza kwa mhemuko huo huo, zile hela za kuchimba visima alizotoa ziliishia wapi, na mlichimba visima vingapi?
CHADEMA kuna ufisadi, ukibebwa bebeka.
Hujaelewa argument yangu.Ni moyo lakini mzee hana kiasi hicho cha pesa. Na pia siyo wakati wote anatimiza ahadi huyu mzee
Nimeelewa lakini sifahamu kuhusu hizo pesa kwa hiyo siwezi kuzungumzia mambo nisiyoyajua labda unieleweshe na kunithibitishia kuhusu hizo pesa za visimaHujaelewa argument yangu.
Mtu kakupa mabilioni kwa ajili ya visima muwahudumie wananchi.
Pesa imeliwa.
Inabidi mtu huyo awe bwege mtozeni kuendelea kumwaga pesa zake kwenye shimo la ufisadi.
Da!!!! Kwa kweli mla ganda wa Leo chungu kaona kivuno!!!Wanajamvi salaam!
Nimeshangazwa sana kupata habari kwamba tajiri Sabodo aliyekuwa mfadhili wa vyama vya upinzani kwa muda mrefu ametangaza kutokuwafadhili CHADEMA tena na badala yake atamsaidia JPM kuwekeza mkoani Dodoma.
Sina tatizo na Sabodo kuwekeza ama kumsaidia Magufuli la hasha ila nataka niwatahadharishe usanii wa huyu mzee.
Kuna kipindi aliwaahidi CHADEMA kuwajengea chuo cha siasa kwa ajili ya kuandaa viongozi. Chama kilitafuta eneo alipotafutwa Sabodo aliingia mitini hata hela ya upembuzi yakinifu ambayo haizidi bilioni nne za kitanzania hakutoa.
Leo hii mtu kama huyu huwezi kumuamini tena kwa ahadi za matrilioni hata kidogo anatafuta umaarufu wa bei nafuu tu.
Tatizo letu kubwa ni kuongea ukweli lakini hatuna namna kwani tukisema tujidanganye kuwa Sabodo ana trillion 10 nafsi zinatusuta.Da!!!! Kwa kweli mla ganda wa Leo chungu kaona kivuno!!!
Unataka kuwadanganya Chagadema wenzio? ??? Hujui sababu????
ALIWAAMBIA MTOE FEEDBACK YA PESA ALIZOTOA KUCHIMBA VISIMA KWENYE MAJIMBO MLIYOKUWA MMESHINDA 2010...MKASHNDWA!!!! MAANA MWENYE CHAMA ALIZIPIGA NUSU YAKE....MLITAKA AWAAMINI TENA KATIKA LIPI??????
Inshu ya kwamba kwenye list ya Forbes hayupo LEO NDO MNALIJUA??? BAADA YA KUWAPIGA CHINI??? Alipokuwa anawafadhili alikuwa namba ngapi???,, mbona mlimuita Tajiri by then?????
Huwa mnamuita Ndesamburo kuwa ni tajiri Ndesapesa...ni namba ngapi Forbes?,
Vipi Lowassa ni namba ngapi Forbes???
Mbowe ni namba ngapi Forbes???
My Take:- Badiliken enyi wenye ndimi mbili..ndo maana kwa sasa mnamponda Dr Slaa simply kaonyesha msimamo wake...Yan kila anayekuwa kinyume na ninyi ni msaliti..mara shetan mara nini...HAMNA JEMA HATA MOJA
Yani kwa Jinsi Mzee Sabodo alivyowapiga jeki ninyi ndo wa kuanza kumtusi na kumdhalilisha!!!!!! Hiyo laana haitawaacha wallah!!!!!
Sawa mkuu, mfano huu pesa hapa hikuwa ya visima bali kwa uendeshaji chama.Nimeelewa lakini sifahamu kuhusu hizo pesa kwa hiyo siwezi kuzungumzia mambo nisiyoyajua labda unieleweshe na kunithibitishia kuhusu hizo pesa za visima
Wanajamvi salaam!
Nimeshangazwa sana kupata habari kwamba tajiri Sabodo aliyekuwa mfadhili wa vyama vya upinzani kwa muda mrefu ametangaza kutokuwafadhili CHADEMA tena na badala yake atamsaidia JPM kuwekeza mkoani Dodoma.
Sina tatizo na Sabodo kuwekeza ama kumsaidia Magufuli la hasha ila nataka niwatahadharishe usanii wa huyu mzee.
Kuna kipindi aliwaahidi CHADEMA kuwajengea chuo cha siasa kwa ajili ya kuandaa viongozi. Chama kilitafuta eneo alipotafutwa Sabodo aliingia mitini hata hela ya upembuzi yakinifu ambayo haizidi bilioni nne za kitanzania hakutoa.
Leo hii mtu kama huyu huwezi kumuamini tena kwa ahadi za matrilioni hata kidogo anatafuta umaarufu wa bei nafuu tu.
Unajulikana kwa kubwabwaja kwakoNa wewe pia umeoa na una familia, kweli hawa Wanawake nao wana mizigo, Duh!
Huyo kiasi cha fedha cha saizi yake ni milioni 100 hata mtambo wa kiwanda cha kusindika muhogo haitoshiMta account vipi billion 4 za upembuzi yakinifu kama hamuwezi ku account hela ndogo za kuchimba visima?
Ni msanii sana ngoja atawashangaza sema amewapa mtego anajua hawawezi kuhamia Dodomaalihaidi ofisi ya CHADEMA, Imefikia wapi ahadi yake?