Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,011
- 14,349
🙏📝kama una mpango wa kwenda mbinguni ,Usichukie sabato maana hata mbinguni itakuwepo
Isa 66:23 SUV
niwatakie sabato njema watu wa Mungu
Ungemuelewa Paulo usingekuja na ili fungu, Paulo amezunguka sana katika mashariki ya mbali kueneza injili alikuta watu na tamaduni zao, kuna maeneo alikuta wanatamaduni zao basi alienda kwa njia kama ya kwao ili awavute waijue ukweli, ndio maana ukisoma vitabu vya Paulo vyote kuna maeneo unaona kama vinakinzana hivi.Kol 2:16-17
Kol 2:16-17 SUV
Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
Dini/Dhehebu halikupeleki mbinguni ....kitakachokupa tiketi ya kwenda mbinguni ni uhusiano wako binafsi na Mungu na sio ufuasi au ushabiki wa madhehebu
Utakuwaje na uhusiano bila kufuata maagizo yake?Kol 2:16-17
Kol 2:16-17 SUV
Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
Dini/Dhehebu halikupeleki mbinguni ....kitakachokupa tiketi ya kwenda mbinguni ni uhusiano wako binafsi na Mungu na sio ufuasi au ushabiki wa madhehebu
mkuu ,uhusiano gani usiofuata taratibu?Kol 2:16-17
Kol 2:16-17 SUV
Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
Dini/Dhehebu halikupeleki mbinguni ....kitakachokupa tiketi ya kwenda mbinguni ni uhusiano wako binafsi na Mungu na sio ufuasi au ushabiki wa madhehebu
Ungemuelewa Paulo usingekuja na ili fungu, Paulo amezunguka sana katika mashariki ya mbali kueneza injili alikuta watu na tamaduni zao, kuna maeneo alikuta wanatamaduni zao basi alienda kwa njia kama ya kwao ili awavute waijue ukweli, ndio maana ukisoma vitabu vya Paulo vyote kuna maeneo unaona kama vinakinzana hivi.
Ni sawa na wewe uende bar watu wanakunywa pombe uanze kuwasimanga kwamba ""ukilewa siku ya mwisho utachomwa moto" hapana lazima uenende kwa namna ambayo itavutia kuwashawishi.
ISAYA 66:23
jamaa ameandika hapo juu, kwamba itakua mwezi mpya sabato hata sabato, binadamu wote watakusanyika mbele za bwana kumuabudu yeye.
sasa wewe kama mkristo una imani kwamba huko mbinguni kutakua na dhehebu mbalimbali? Watakaosali jumamosi/jumapili/Jumatatu n.k?
kama una mpango wa kwenda mbinguni ,Usichukie sabato maana hata mbinguni itakuwepo
Isa 66:23 SUV
Na itakuwa, mwezi mpya hata mwezi mpya, na sabato hata sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema BWANA.
kwa wale wanaopenda agano jipya: na kama wewe ni mtu wa Mungu
Waebrania 4:9-10
Basi, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu. Kwa maana yeye aliyeingia katika raha yake amestarehe mwenyewe katika kazi yake, kama vile Mungu alivyostarehe katika kazi zake.
Kut 20:8-11 SUV
Ikumbuke siku ya Sabato uitakase. Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya BWANA, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako. Maana, kwa siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo BWANA akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
Hatutunzi sabato ili kuokolewa. tunatunza sabato kwa sababu tumeokolewa.
Efe 2:8-10 SUV
SUV maana yake nini?
Amina🙏Kol 2:16-17
Kol 2:16-17 SUV
Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
Dini/Dhehebu halikupeleki mbinguni ....kitakachokupa tiketi ya kwenda mbinguni ni uhusiano wako binafsi na Mungu na sio ufuasi au ushabiki wa madhehebu
sawa mkuu 😀Hamnaga ubaya ila punguzeni kuwekeza kwenye sare za kwaya na kuponda kanisa katoliki hadi mnashindwa kujenga makanisa na kufanya utume wa kweli.
Mpiga kristo sio ukatoliki ni uislam unaomkana kristo waziwazi.
Mbigu gani hiyo huwa mnaijenga vichwani mwenu namna ilivyo?kama una mpango wa kwenda mbinguni ,Usichukie sabato maana hata mbinguni itakuwepo
Isa 66:23 SUV
Na itakuwa, mwezi mpya hata mwezi mpya, na sabato hata sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema BWANA.
kwa wale wanaopenda agano jipya: na kama wewe ni mtu wa Mungu
Waebrania 4:9-10
Basi, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu. Kwa maana yeye aliyeingia katika raha yake amestarehe mwenyewe katika kazi yake, kama vile Mungu alivyostarehe katika kazi zake.
Kut 20:8-11 SUV
Ikumbuke siku ya Sabato uitakase. Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya BWANA, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako. Maana, kwa siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo BWANA akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
Hatutunzi sabato ili kuokolewa. tunatunza sabato kwa sababu tumeokolewa.
Efe 2:8-10 SUV
Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu. Maana tu kazi yake, tuliumbwa katika Kristo Yesu, tutende matendo mema, ambayo tokea awali Mungu aliyatengeneza ili tuenende nayo.
niwatakie sabato njema watu wa Mungu
1 Yohana 2:4 "Yeye asemaye, Nimemjua, wala hazishiki amri zake, ni mwongo, wala kweli haimo ndani yake."Kol 2:16-17