sabasu ya kucheleweshwa mishahara kwa watumishi wa umma

SniperBoi

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,103
1,125
Kama hiyo attachment inavyojieleza cha msingi kuwa Na subira
 

Attachments

  • 6tag-279723641-1213045967989304025_279723641.jpg
    6tag-279723641-1213045967989304025_279723641.jpg
    73.8 KB · Views: 90
Haijachelewa,itatoka wiki ijayo alhamis ndio mwisho wa mwezi tar.31.
 
tatizo mnatumia bank za analog na sio serikali,hameni huko wenzenu tunacheka sasa masalio tunaona kwa simu,na kutoa kwa simu,vocha kwa simu ,bado mafuta tununue jwa kadi au simu tu.
 
Back
Top Bottom