wanamme huwa tunaamua kuwa na mke zaidi ya mmoja kwa sababu hizi kwanza ni pale unapokuta mwanamke hajijali anaish utafikiri mzee akiwa home hii inajenga mazingira ya kero na mtu kuamua kuongeza mtoto mkali mwingne sababu ya ni kipind kigum ambapo mwanamke huwa mja mzito mpaka kujifungu hii huchukua mpaka miezi miwili mpaka mitatu so inakuwa ngum kwa mwanammew kuvumilia sababu ya tatu ni kutoelewana katika ndoa hasa mnapokuwa mmegombana hii huondoa furaha ya na kumfanya mwanaume kuamua kwenda kutafuta furaha nje nne ni pale mwanamme labda kazaa na bint kwa bahat sasa mwanaume ili watoto wasisumbuke anaamua kumuoa sasa hii inakuwa haina real love so anaamua kuongeza jiko sababu ya saba mwanaume anapenda kuonja sample zote mfano white black english figure au mnne so analazimika kuongeza so wanaume mliomo jf nawashaur owen zaid ya mke mmoja kwan wanawake ni weng kushnda cc sasa ukioa mmoja wengne nani awaoe? Ila tu zingatieni wenye hela ili msisumbuke matumiz samahani najua nimekocea ktk uandish kwan cm cjaizoea