Sababu ya watu wengi kuwa single

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,029
Reaction score
61,933
Maumbile yetu huwa yanatofautiana, ndio maana tunasikia vibamia, tango, mpini, mkono wa mtoto n.k pia kwa wenzetu tunasikia flat, iliyojaa, mnato, iliyobonyea n.k. Sasa inapotokea unakutana na mwenzako kwa mara ya kwanza, hapo ndipo mnaanza kufahamiana kwa maumbile yenu, pamoja na ufanisi wa hivyo vitendea kazi.

Kama itatokea wote mmerizika kwa mlichokiona na kukifanya, basi hapo mahusiano yanaweza yakadumu, au mmoja akarizika zaidi na kujikuta kumpenda mwenzake zaidi. Au wote kutokurizika na kuamua kuachana.

Na hi ndio sababu ya watu wengi kuwa Single
 
Hapana napingana na wewe
Sababu ni hizi zifuatazo
Kukosa hofu ya Mungu
Tamaa
Tabia ya umalaya
Kupenda kuchovyia chovyia
Pepo la ngono
Makundi ya ovyo yanayo jadili ngono
Tabia mbaya kama za mtu anae kunya kitandani
Uhuni
Ushenzi mwingi
 
Hapana napingana na wewe
Sababu ni hizi zifuatazo
Kukosa hofu ya Mungu
Tamaa
Tabia ya umalaya
Kupenda kuchovyia chovyia
Pepo la ngono
Makundi ya ovyo yanayo jadili ngono
Tabia mbaya kama za mtu anae kunya kitandani
Uhuni
Ushenzi mwingi
Nakubaliana na wewe kwa kiasi, kutokana na sababu zako,wengi wanaishi kwa kuvumiliana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…