Habari wanaJF, Kwa utafiti niliofanya unaonyesha kuwa walimu wa ngazi tofauti kamwe hawawezi kugoma.Hii ni kutokana na waliowengi wanatumia vyeti visivyo vyao(vyakughushi) hususani wale walimu wa cheti na wengineo.Sababu hii inawafanya kuogepa kugoma kwn itatokea serikali ikawasimamisha walimu na kuamuru usaili ufanyike upya ajira itakuwa imekwisha.Ndio maana siku zote mgomo ukipangwa waliowengi hawashiriki na kutokufanikiwa kwa mgomo.hvy basi msitegemee kuona mgomo kwa Walimu wetu.
la kughushi vyeti sina uhakika nalo lakini nikiletewa ushahidi siwezi kuzimia maana kwa nchii hii ya ccm hakuna lisilowezekana kila siku watu wanafoji uraia wa tanzania mchana kweupe sembuse cheti cha elimu? hilo la kujitenga na walimu wa shule za msingi sio suluhu.Nakubaliana na wewe kwa asilimia nyingi tu. Wengi wao waliingia katika kipindi cha UPE2, ni drs7 lakini waligushu vyeti na wanafanya kazi kama walimu wenye kidato cha 4. Mgomo wa walimu hautakuja kufanyika kamwe labda kama wale wa sekondari na vyuo watajitenga na kundi la walimu wa shule za msingi
la kughushi vyeti sina uhakika nalo lakini nikiletewa ushahidi siwezi kuzimia maana kwa nchii hii ya ccm hakuna lisilowezekana kila siku watu wanafoji urai wa tanzania sembuse cheti cha elimu? hilo la kujitenga na walimu wa shule za msingi sio suluhu.Nakubaliana na wewe kwa asilimia nyingi tu. Wengi wao waliingia katika kipindi cha UPE2, ni drs7 lakini waligushu vyeti na wanafanya kazi kama walimu wenye kidato cha 4. Mgomo wa walimu hautakuja kufanyika kamwe labda kama wale wa sekondari na vyuo watajitenga na kundi la walimu wa shule za msingi
Hilo ni kweli kabisa Mjomba wangu anatumia cheti cha dada yake huwezi amini kazini anaitwa jina la kike na mzigo anapiga kama kawa mjomba huyu alisoma form one tu akatimuliwa shule alimbaka mwalimu wake wa kike si unajua zamani wanafunzi walikuwa wanaenda shuleni wakubwa ila dada yake alimaliza shule form four jamaa akakitumia hicho cheti ni mwalimu na anakula hela ya ualimu kiulaini na bado kama miaka 10 tu astaafu apate mafao yake. simsifii ila nasikitika huu udhaifu wa hii serikali hata hilo hawawezi kulitambua? mfano mwalimu wa kiume unasikia anaitwa Ashura serikali inaona poa tu,
Heshima mkuu, you've been brutally honest and I take your classic example as a solid evidence against walimu. Walimu ni kundi kubwa la wautmishi wa serikali lakini pia ndio kundi dhaifu kuliko mengine. Hivyo wataendelea tu kunyonywa na kudhulumiwa mpaka basi.
CDM ikiingia kunako nguvu, waanze usaili na uhakiki wa ajira zao upya. Ndio maana mara zote hawa walimu wamekuwa wakishirikiana na ccm kuiba kura kwenye chaguzi.
Habari wanaJF, Kwa utafiti niliofanya unaonyesha kuwa walimu wa ngazi tofauti kamwe hawawezi kugoma.Hii ni kutokana na waliowengi wanatumia vyeti visivyo vyao(vyakughushi) hususani wale walimu wa cheti na wengineo.Sababu hii inawafanya kuogepa kugoma kwn itatokea serikali ikawasimamisha walimu na kuamuru usaili ufanyike upya ajira itakuwa imekwisha.Ndio maana siku zote mgomo ukipangwa waliowengi hawashiriki na kutokufanikiwa kwa mgomo.hvy basi msitegemee kuona mgomo kwa Walimu wetu.
sio wa primary tu,hata hao wa secondary hamna kitu wote failure
Sio wa primary tu,hata hao wa secondary hamna kitu wote failure
Kimsingi nahisi ni kupoteza mda kulijadili kundi la watu wasiojitambua! hawa watu ni hatari sana maana wengi pamoja na kuitwa walimu bado wamepitwa na wakati. wengi hawajui kwamba kugoma ni haki kikatiba ya mfanyakazi! watazame walimu wanavyovaa, wanavyokula, nyumba wanazoishi, hospitali wanazotibiwa, utawahurumia! ndio maana kwa kuwadharau, mzee wa udhaifu aliwaita mbayuwawayu! ni waoga mno na uwa siwahurumii maana sioni ni kwa nini failures alipwe mshahara mkubwa! let them suffer msiyaonee huruma acha vyalimu viteseke! ni hivyo hivyo vyalimu uwa vinasimamia kura na kuhakikisha ccm inashinda! kimsingi vyalimu sivipendi kwa ujinga wao!