Sababu ya mikutano ya CHADEMA kufeli

Sababu ya mikutano ya CHADEMA kufeli

mapessa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
664
Reaction score
1,168
Hapa ni Utegi jimbo la Rorya hali ni tete kwa Chadema

Wananchi waeleza Mikutano kupata watu kidogo ni kutokana na kuhubiri udini, kukosa sera mbadala na kufanya ujasiriamali wa kisiasa kila sehemu wanapopita wao hadi lazima watembeze kikapu huku michango hiyo ikiwa haijulikani inakwenda wapi..?

Wananchi wagusia kuwa hawaoni jipya kwao kutokana na kushindwa kusimamia sera zao.

ba19bbc6-e6c6-4de3-afd4-3513f4db8efa.jpg
 
Hebu tuonyeshe picha ya kikapu cha michango. Na chadema hawawezi poteza pesa kuleta watu kwa magari ili waonekane wamejaza. Kumbuka hayo maeneo watu wapo kwenye kazi zao cha mambuzi waache kuiba kura uone nguvu ya wananchi waliochoka.
 
Hapa ni Utegi jimbo la Rorya hali ni tete kwa Chadema

Wananchi waeleza Mikutano kupata watu kidogo ni kutokana na kuhubiri udini, kukosa sera mbadala na kufanya ujasiriamali wa kisiasa kila sehemu wanapopita wao hadi lazima watembeze kikapu huku michango hiyo ikiwa haijulikani inakwenda wapi..?

Wananchi wagusia kuwa hawaoni jipya kwao kutokana na kushindwa kusimamia sera zao.

View attachment 2739692
View attachment 2739693
Ng'ombe
 
We kenge sisi tupo utegi ,kama huna nauli weka bando ingia Jambo Tv live au Mwanzo tv live, Nyau wewe
 
Wewe ni muongo, acha uongo ndugu, uko utegi hapa sehemu gani hadi uje utusemehe ujinga wako humu?

Wategi (mtegi) sio mjinga tuna akili kuliko CCM yenu, hivi wewe unayekimbilia kuletea umbea humu mmesaidia nini Utegi?

CCM si ndio hao hao ambao wametunyannpg'anya Utegi Farm juzi tu hapa, tena bila fidia nzuri na kuwakabidhi BARRICKS?
 
Kada wa CCCM Kureport mikutano ya CHADEMA, umepima faida na HASARA zake?

Usijesema hukuonywa!!
 
We kenge sisi tupo utegi ,kama huna nauli weka bando ingia Jambo Tv live au Mwanzo tv live, Nyau wewe
Utegi tuna jambo letu, baada ya CCM kutufurusha Utegi Farm na kuwakabidhi Wazungu unafikiri sisi Wategi ni wajinga?

Mtu unaondolewa ulipwi ardhi, je uende uishi wapi? wao CCM wanakula na kulala vizuri kwa kodi zetu ila wapiga kura si chochote kwao!
 
Huyo kenge wa Lumumba wala hajuhi Utegi achana naye, tumefurushwa tena bila malipo kutoka kwenye makazi yetu ya miaka na miaka na ndo sehemu yetu yakilimo na kupelekwa kwa Mzungu wa BARRICKS bure kabisa hatutaki CCM Utegi
 
Hapa ni Utegi jimbo la Rorya hali ni tete kwa Chadema

Wananchi waeleza Mikutano kupata watu kidogo ni kutokana na kuhubiri udini, kukosa sera mbadala na kufanya ujasiriamali wa kisiasa kila sehemu wanapopita wao hadi lazima watembeze kikapu huku michango hiyo ikiwa haijulikani inakwenda wapi..?

Wananchi wagusia kuwa hawaoni jipya kwao kutokana na kushindwa kusimamia sera zao.

View attachment 2739692
Hivi nyie uvccm akili zenu zimehifadhiwa wapi katika miili yenu?
Mnadhani mlivyo wajinga huko kwenye vijiwe vyenu basi na hapa JF wapo kama nyie?
Chadema mikutano yake ni next level

View: https://youtu.be/c7Qn9VajpmI?si=ZFDbo8k3WvbJE7uN
 
Hapa ni Utegi jimbo la Rorya hali ni tete kwa Chadema

Wananchi waeleza Mikutano kupata watu kidogo ni kutokana na kuhubiri udini, kukosa sera mbadala na kufanya ujasiriamali wa kisiasa kila sehemu wanapopita wao hadi lazima watembeze kikapu huku michango hiyo ikiwa haijulikani inakwenda wapi..?

Wananchi wagusia kuwa hawaoni jipya kwao kutokana na kushindwa kusimamia sera zao.

View attachment 2739692
mtapata tabu sana makuwadi na wake za warabu dpworld, tunawaelekeza fatilieni sirari na rorya leo muone mikutano.
 
Hapa ni Utegi jimbo la Rorya hali ni tete kwa Chadema

Wananchi waeleza Mikutano kupata watu kidogo ni kutokana na kuhubiri udini, kukosa sera mbadala na kufanya ujasiriamali wa kisiasa kila sehemu wanapopita wao hadi lazima watembeze kikapu huku michango hiyo ikiwa haijulikani inakwenda wapi..?

Wananchi wagusia kuwa hawaoni jipya kwao kutokana na kushindwa kusimamia sera zao.

View attachment 2739692
Aibu yako aibu ya CCM
 
Acha kula ugoro ..iko siku utakuja kupupu kitandani
 
Back
Top Bottom