Sababu ya kuvamiwa kwa Iran

Sababu ya kuvamiwa kwa Iran

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,254
Reaction score
26,641
Sababu ya kuvamiwa kwa Iran

Wazee wa propaganda wameshaanza kupenyeza uzushi kuwa Marekani (US) inataka kuivamia Iran kwa sababu ya Uislamu. Hoja hii haina mashiko hata kidogo. Kama sababu ingekuwa ni Uislamu, basi US isingekuwa na uhusiano wa karibu na nchi za Kiislamu kama Saudi Arabia, Qatar, Morocco, UAE, Jordan, Misri, na nyingine nyingi. Zaidi ya hapo, nchi hizo hizo za Kiislamu zilipeleka ndege za kivita mwaka 2011 kumng’oa Muammar Gaddafi nchini Libya. Je, tuseme walikwenda kupigana vita vya kidini? Hapana.

Sababu za mvutano kati ya Israeli na Iran ni hizi:

1. Iran kutamka wazi nia ya kuiangamiza Israeli
2. Iran kudhamini na kufadhili makundi ya kigaidi yanayolenga Israeli

Sababu za Iran kusuguana na MAREKANI ni hizi:

1. Mapinduzi ya mwaka 1979 yaliyowafukuza Wamarekani Iran (maslahi hasa ya mafuta)

2. Mpango wa Iran wa kutengeneza silaha za nyuklia, jambo ambalo hata Umoja wa Mataifa (UN) umelipiga marufuku

3. Iran kutishia kuiangamiza Israeli, mshirika mkuu wa Marekani

4. Iran kuingilia na kuhatarisha maslahi ya Marekani katika Mashariki ya Kati

Kwa sasa, mpasuko mkubwa wa ndani umejitokeza ndani ya taifa la Iran. Bila shaka vyombo kama CIA, Mossad, na vingine vina maslahi yao na vinaweza kuwa vimehusika kwa namna fulani. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa kuwa mgogoro huu haukuanzishwa na Mossad wala CIA, bali ulianza na utawala wa Iran wenyewe mwaka 1979, baada ya kuwasaliti Wairan kwa kusimamisha utawala wa kidini, kinyume na ahadi za awali za Ayatollah Ruhollah Khomeini. (Nitatoa post maalum kuhusu hilo).

Kwa mantiki hiyo, CIA na Mossad wamekuta moto tayari upo, wao wamepuliza tu ili uongezeke, wakitarajia kupata sababu ya kuingilia Iran kijeshi. Hata hivyo, hadi sasa, sababu hiyo haijatosha kisheria, kwa sababu kwa mujibu wa sheria za kimataifa, taifa haliruhusiwi kuingilia mambo ya ndani ya taifa jingine bila kibali cha UN, isipokuwa pale ambapo kuna tishio kubwa la mauaji ya halaiki — kama ilivyokuwa Libya wakati wa Gaddafi.

Kuhusu nyuklia

Sababu ya nyuklia pia kwa sasa haina nguvu kama awali, kwani Donald Trump alidai kuwa tayari alishaharibu miundombinu yote ya nyuklia ya Iran. Labda Iran ianze kushambulia. Kwa upande mwingine, Iran si mjinga kiasi cha kuishambulia Israeli au maslahi ya Marekani moja kwa moja, kwa sababu kufanya hivyo kungeipa Marekani kisingizio kamili cha kuivamia. Badala yake, Iran inasubiri upande wa pili uanze.

Hivyo basi, kilichobaki sasa ni mapambano ya ndani.
Waandamanaji waendelee kupambana na dola yao, hadi UN ipate sababu ya kuingilia, au
Marekani ipate hoja ya kuishawishi dunia.

Njia mojawapo iliyopangwa hadi muda huu ni kushambulia na kudhoofisha miundombinu muhimu ya serikali na jeshi, ili kuvunja nguvu ya utawala na kuwaacha raia wamalizie kazi, kama ilivyotokea Libya.
Iran inalifahamu hilo vizuri. Ndiyo maana imelazimika kupambana na maandamano kwa mkono wa chuma, kwa hofu kwamba ikiwa maandamano yataendelea, sababu za uvamizi zitapatikana. Na yakitulia, basi hoja za kuivamia zitakufa.

Kwa sasa, karata ya US/Israeli imebaki mikononi mwa waandamanaji, na uhai wa utawala wa Iran umebaki katika uwezo wake wa kuyazima maandamano
 
U.S na Israel si zina marubani wenye weredi,nadhani ni rahisi tu waivamie kama June mwaka jana,😁😁
Wafanye regime change,easy tu

Kwa sasa, karata ya US/Israeli imebaki mikononi mwa waandamanaji, na uhai wa utawala wa Iran umebaki katika uwezo wake wa kuyazima maandamano.

Na Jeff
 
Kwahiyo Hizo Silaha Halali kumilikiwa na Wao tu sio Nchi nyingine
Na Una Akili uishabikie Marekani kwa upuuzi kama huo!?
 
Kwa maslahi mapana ya dunia dhidi ya ugaidi, Iran ipigwe kabisa, huo utawala wa kishenzi wa kiislamu utolewe.
 
Manowari Mbili za kubeba Ndege vita zimeonekana tayari Mashariki ya Kati kuashiria vita kuanza...Mrusi, China na North Korea wanajipanga na wao kupeleka vifaa vyao vya kutosha...vita ya 3 ya Dunia very soon kuanza
 
Back
Top Bottom