Sababu Kuu za Kuchepuka

Sababu Kuu za Kuchepuka

Habari ya Mujini

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
2,518
Reaction score
1,045
Wadau kwa mtizamo wangu badhani michepuko haiwezi kwisha kwakuwa ni ukweli ulio wazi kuwa mapenzi ya wizi ni matamu kuliko mapenzi ya kawaida,,unaweza kuwa unapewa kila kitu na mumeo au mkeo lakini ukikumbuka mazingira unayogegedwa au unavyo mgegeda mchepuko wako lazima uruke ukuta..mfano we ni mke wa mtu afu kuna jamaa mtaani kwenu huwa anakusubiria kichochoroni mida ya usiku unapotoka kazini anakukamatisha ukuta yani hata nguo hakuvui vizuri anakupiga kimoja cha fasta ukirudi home uko hoi kweli we mwanamke utaacha kuchepuka? Atakama huyo mwanaume hakupi hela...Au mfano we ni boss umeoa lakini secretary wako anakuja ofc kwako asubuhi kabla ofc haijawa bize anakujengea mazingira unajikuta umemkalisha mezani unampa haki yake fasta fasta mnajifuta na tishu au magazeti ya siku iyo mnaendelea na kazi kama hakuna kilichotokea walahi huwezi kuacha kuchepuka...Mlio oa jaribuni kubuni mbinu mpya za kugegedana ba wenzi wenu la sivyo mtaibiwa kila siku...!!
 
Nonsense ideas!!! U can't treat a problem by causing a problem.
 
kuna umuhimu wa kuongezwa kwa majukwaa!!!
ombi langu liwekwe jukwaa la chakula cha bata na matapu tapu!!!
 
kama ishu ni kufanya kichochoroni kwanini usiende na mmeo huko kichochoroni?
umalaya tu na tamaa...!!!!

!
!
huyu atakuwa anampa bosi wake, akiingia tu kazini na labda pia muda wa kutoka. Halafu mtaani kwake pia kuna shababi linamvizia kwa kichochoro. Lakini sio kesi, maharage kila siku yanaboa.
 
hajatoa sababu ila anaonyesha jinsi anavyo enjoy!usituhamasishe hapa kwanza huo ni udhalilishwaji,vichochoroni!??tena kwa kuviziana?
 
!
!
huyu atakuwa anampa bosi wake, akiingia tu kazini na labda pia muda wa kutoka. Halafu mtaani kwake pia kuna shababi linamvizia kwa kichochoro. Lakini sio kesi, maharage kila siku yanaboa.

Utamu wakubadilisha ladha na mazingira nadhan unaujua...!
 
!
!
huyu atakuwa anampa bosi wake, akiingia tu kazini na labda pia muda wa kutoka. Halafu mtaani kwake pia kuna shababi linamvizia kwa kichochoro. Lakini sio kesi, maharage kila siku yanaboa.
sasa kwanini usibaki singo ili usile maharage???
 
Mmhh! Haya kazi kwelikweli! Hamna kitu kizuri kama kumpenda na kumweshimu mkeo/ mmeo
 
Ni kwelii Mamii2 tatizo wanandoa inabidi wawe wanabadili mazingira kidogo ili kupata ladha mpya...!
 
Jamani vichochoroni tena? Na ukubwa wote huu? Kipindi navunja ungo sikufanyia uchochoroni ,leo hii najikutaje??? Bwt huko kwenu watu hawapiti vichochoroni?
 
Back
Top Bottom