Natumaini mnaendelea vizuri na ujenzi wa Taifa.
Kumekuwa na sababu lukuki zisemwazo kuwa chanzo cha wanawake kuchoka/kuzeeka haraka, kama vile kuzaa sana, tutojipenda/kujijali, kuanza mahusiano ya kimapenzi katika umri mdogo, unywaji sana wa ulabu/mnazi e.t.c
Lakini mimi naona zote hizo cha mtoto, funga kazi ni hii niliyoiona mimi ambayo huenda ndio inatufanya tuonekane vibibi kabla ya muda.
Hasira + vinyongo + chuki + ubinafsi + kutopenda maendeleo ya wengine ndivyo vinavyotufanya sura zitushuke mapema.
Nawasilisha
Msinichambe jameni khaaaaaaaa
Mimi nakunywa sana pombe mbona sizeeki au zimedunda
anaye kunywa sana pombe hajijuiMimi nakunywa sana pombe mbona sizeeki au zimedunda
Kwanini asijijue na yeye ndiyo mnywaji???anaye kunywa sana pombe hajijui
Hata chakula utakua unakula vizuri bila shaka ndio maana hujazeekaMimi nakunywa sana pombe mbona sizeeki au zimedunda
Hasira + vinyongo + chuki + ubinafsi + kutopenda maendeleo ya wengine ndivyo vinavyotufanya sura zitushuke mapema.
Wewe ni mlevi namba Moja, umepoteza kumbukumbu hata kwenye comment hiiUnywaji wa pombe kupita kiasi hupelekea upotevu wa kumbukumbu na matatizo mengine ambayo siyakumbuki vizuri.
Hajapoteza kumbukumbu pombe inasaidia kidogo kupunguza kero za wanaumeWewe ni mlevi namba Moja, umepoteza kumbukumbu hata kwenye comment hii