Lowassa atahama CCM na kwenda chama cha upinzani kwa sababu zifuatazo,
1. Afya yake: Lowassa anajua kuwa afya yake haipo imara sana kumfanya asogeze matumaini mbele ya kuwa rais.
2. Fedha: Lowassa ametumia pesa nyingi sana kwa ajili ya marafiki.Hatakubali kusalimu amri na kuwasaliti marafiki na wafadhili.Atagombea urais ili hata asipoupata,atapata wabunge kadhaa (marafiki) na hivyo kurejesha sehemu ya fadhila.
3. Kukubalika sana: Kwa ushawishi,Lowassa ndio amejitengenezea ushawishi mkubwa kuliko Mtanzania yeyote (Labda Dr.Slaa).
Ushawishi unatokana na rekodi ya utendaji kazi alipokuwa PM na kugawa pesa kwa makundi karibia yote.
4. Kulipa kisasi kwa Kikwete na CCM: Inasemekana kuwa Lowassa ndiye aliyemwingiza Kikwete ikulu kwa makubaliano maalum.Kikwete hajaonekana kumjali na kulipa fadhila,hivyo Lowassa anaona bora Kikwete na CCM yake wapate maumivu ya usaliti.
5. Uhakika wa kuiondoa CCM madarakani: Lowassa anakubalika na ana pesa.Anajua kabisa akiondoka ,CCM itabaki skeleton na hata kama yeye hatashinda urais,UKAWA watashinda tena kirahisi na hivyo kinga dhidi ya Kikwete na watu wake haitakuwepo na yeye atashiwishi(akiwa kama kiongozi mkuu wa upinzani) kushughulikiwa kwa Kikwete.
Kwa sababu hizi na zingine, simuoni Lowassa akiendelea kuimba iyena iyena.
Hapa anayedanganywa ni Dr. Slaa au Lowassa?Hii namba 3 Kukubalika sana: Kwa ushawishi,Lowassa ndio amejitengenezea ushawishi mkubwa kuliko Mtanzania yeyote (Labda Dr.Slaa).
Mnajidanganya nyinyi pamoja na kumdanya Dr.Slaa.
Vipi ile kete yenu ya dini utaitumiaje kwa John Pombe Magufuli?Hii namba 3 Kukubalika sana: Kwa ushawishi,Lowassa ndio amejitengenezea ushawishi mkubwa kuliko Mtanzania yeyote (Labda Dr.Slaa).
Mnajidanganya nyinyi pamoja na kumdanya Dr.Slaa.
Wote wanadanganywa.Hapa anayedanganywa ni Dr. Slaa au Lowassa?
Hamna kete ya udini mnajiogopesha tu wenyewe, Magufuli mbona kijana wa JK unadhani ili limetokea bahati mbaya kazi ya kwanza ya Magufuli kaambiwa mchague Samia mara moja mgombea mwenza.Vipi ile kete yenu ya dini utaitumiaje kwa John Pombe Magufuli?
Wakati Akijiandaa Kuhama CCM Kama Wewe Unavyomshabikia Na Kumtaka Afanye Hivyo Usisahau Pia Kumuuliza Je Anayakumbuka Ya Imran Kombe? CCM Yetu Ni Zaidi Ya CIA, MOSSAD, FSB/KGB Na Scotland Yard. Wewe Unadhani Kwanini Nakipenda Hiko Chama? Kimejaa MAFUNDI Watupu Na Moja Ya UFUNDI Kilichouonyesha Ni Kitendo Cha Kuwamaliza KIMAFIA Na KIJASUSI Akina Lowassa Na Mwezie Membe Bila Ya Hata Wao Kujua. Narudia Tena Kukuambia CCM Kumejaa MAFUNDI Watupu Na Wanaojua Michezo Yote Ya Hatari Na Ya Kibusara Unayoijua Wewe. Najua Wapo Watu Wengi Ningekupa Mifano Yao ILA Nimekutajia Tu Huyo Marehemu Brigadier General Imran Kombe Kwa Makusudi Na Nakutaka UTAFAKARI Kwa Kina Halafu Ukilipata Jibu Mfikirie Na Huyo Mpendwa Wako Unayemtetea Na Kumuonea Huruma a.k.a NIMEKATWA, NINA HASIRA Na UCHUNGU ( EL ).
Hii namba 3 Kukubalika sana: Kwa ushawishi,Lowassa ndio amejitengenezea ushawishi mkubwa kuliko Mtanzania yeyote (Labda Dr.Slaa).
Mnajidanganya nyinyi pamoja na kumdanya Dr.Slaa.