py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,454
A.Saddam's Iraq
B.Assad's Syria
C.Gaddafi's Libya
China ndio wanatakiwa wasimamie na wasitishe Vita ya Korea na watengeneze utulivu kwenye region hizo na wawahakikishie ulinzi S Korea&N.Korea kwa pamoja na wala siyo USA afanye kazi hiyo.Hii itahusisha N.Korea waache muendelezo wake wa kutengeneza silaha za Nucleur lakini abaki na baadhi ya silaha zake za Nucleur anazozimiliki ili kuzuia hali iliyomkuta Gaddafi na yeye impate ,kwakuwa Gaddafi alikuwa disarmed na baadaye kushambuliwa na wamagharibi.
Vikwazo anavyowekewa NK hazisaidii,1994 waliwekewa vikwazo vingi na NK walikuwa ktk janga kubwa la njaa lakini hawakutii amri.
Mazoezi ya pamoja kati ya majeshi ya USA & S.Korea ndio huchochea zaidi Kim aendelee kutengeneza Nucleur.