Saa6 ni saa6 tu..Wanawake msibadilishe majira.

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,167
Reaction score
2,612
Onyo!!Saa6 mchana ni saa6 tu..Ma'manzi. msitake kutubadilishia majira..Kama ni Saa12 jioni acha kuchezea saa.








@NgarenaroBoy.
 
Wa kwako ndio alochezea saa hadi ukaingia kichwa kichwa[emoji28][emoji28]
Onyo!!Saa6 mchana ni saa6 tu..Ma'manzi. msitake kutubadilishia majira..Kama ni Saa12 jioni acha kuchezea saa.








@NgarenaroBoy.
 
Mzee baba tumekufanya nini sisi wafanyabiashara ya brazia na vifuniko vya asali?

Hutaki wanunue wakapige jerk?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee baba tumekufanya nini sisi wafanyabiashara ya brazia na vifuniko vya asali?
Hutaki wanunue wakapige jerk?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha waga wanajiskia vibaya sana wao wako macho lakini maziwa yao yashavuta shuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…