Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,891 Reaction score 5,063 Jan 23, 2015 #21 Brand gan kutoka nch gan!
M mnyamwezi Member Joined Sep 25, 2007 Posts 31 Reaction score 13 Jan 23, 2015 #22 Ni Automatic au za betri???
L Le' Cappuccino Member Joined Jan 18, 2015 Posts 35 Reaction score 8 Jan 23, 2015 #23 Jestkilla said: Origino Omega 30,000/-......????????????? Click to expand... Haa....kwa anayejua bei ya saa kama OMEGA, ROLEX, HUBOLT etc anacheka sana
Jestkilla said: Origino Omega 30,000/-......????????????? Click to expand... Haa....kwa anayejua bei ya saa kama OMEGA, ROLEX, HUBOLT etc anacheka sana
DMussa JF-Expert Member Joined Sep 24, 2007 Posts 1,310 Reaction score 299 Jan 23, 2015 #24 Jestkilla said: Origino Omega 30,000/-......????????????? Click to expand... Kuna jamaa mmoja alijikuta akiuziwa SEIKO kwa Yuan 75 aprox 12USD ndani ya Shanghai. Aliivaa hiyo saa asbh hadi kufika jioni saa ilikuwa tayari imeshaharibika. Kwa bei hizo atuuzie tu zile zisizo na majina sio SEIKO, IWC, TISSOT, SEKONDA etc.
Jestkilla said: Origino Omega 30,000/-......????????????? Click to expand... Kuna jamaa mmoja alijikuta akiuziwa SEIKO kwa Yuan 75 aprox 12USD ndani ya Shanghai. Aliivaa hiyo saa asbh hadi kufika jioni saa ilikuwa tayari imeshaharibika. Kwa bei hizo atuuzie tu zile zisizo na majina sio SEIKO, IWC, TISSOT, SEKONDA etc.
Sniper JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 2,008 Reaction score 949 Jan 28, 2015 #26 Jestkilla said: Origino Omega 30,000/-......????????????? Click to expand... kuna sehem yoyote umeona ameandika neno origino?
Jestkilla said: Origino Omega 30,000/-......????????????? Click to expand... kuna sehem yoyote umeona ameandika neno origino?
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,257 Jan 28, 2015 #27 Kill 3 said: ngoja watakuja wazee wa vijisent wale wa escrow kununua hizo saa. Click to expand... Kuvaa saa ya Tshs 28000 lazima uwe fisadi? Oh sasa hii ni too much aisee
Kill 3 said: ngoja watakuja wazee wa vijisent wale wa escrow kununua hizo saa. Click to expand... Kuvaa saa ya Tshs 28000 lazima uwe fisadi? Oh sasa hii ni too much aisee
Emma. JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 19,932 Reaction score 5,566 Jan 28, 2015 #28 BIGURUBE said: Kuvaa saa ya Tshs 28000 lazima uwe fisadi? Oh sasa hii ni too much aisee Click to expand... wewe kwa siku unaingiza sh.ngapi
BIGURUBE said: Kuvaa saa ya Tshs 28000 lazima uwe fisadi? Oh sasa hii ni too much aisee Click to expand... wewe kwa siku unaingiza sh.ngapi
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,589 Jan 28, 2015 #29 atakuwa anamtangazia mtu labda mweka huzi edit kidogo tangazo lako hapo juu kwa kuweka vizuri maelezo tuelewe kunako said: NImehis ufanyi biashara maana haiwezekani ushindwe kuweka namba za cmu alafu udai unauza Click to expand...
atakuwa anamtangazia mtu labda mweka huzi edit kidogo tangazo lako hapo juu kwa kuweka vizuri maelezo tuelewe kunako said: NImehis ufanyi biashara maana haiwezekani ushindwe kuweka namba za cmu alafu udai unauza Click to expand...
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,589 Jan 28, 2015 #30 zingine zinakuwa ni toi Le' Cappuccino said: Haa....kwa anayejua bei ya saa kama OMEGA, ROLEX, HUBOLT etc anacheka sana Click to expand...
zingine zinakuwa ni toi Le' Cappuccino said: Haa....kwa anayejua bei ya saa kama OMEGA, ROLEX, HUBOLT etc anacheka sana Click to expand...
donbeny JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 3,612 Reaction score 3,242 Jan 28, 2015 #31 Hakuna saa hapo
donbeny JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 3,612 Reaction score 3,242 Jan 28, 2015 #32 Utawapata wateja wa cheap & low quality products,saa ni zaidi ya unavyoifikiria!!!!
V Van claude Member Joined Jan 9, 2015 Posts 53 Reaction score 12 Jan 30, 2015 #33 New arrivals Analog digital classic watches for 50,000/= Tsh Contact 0713 979 798 free delivery in dsm Attachments 1422615211543.jpg 43.4 KB · Views: 161 1422615242301.jpg 38.1 KB · Views: 153 1422615268827.jpg 39.2 KB · Views: 158 1422615299982.jpg 45.3 KB · Views: 161 1422615332041.jpg 38.9 KB · Views: 144
New arrivals Analog digital classic watches for 50,000/= Tsh Contact 0713 979 798 free delivery in dsm
chalii wa ara JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 1,086 Reaction score 1,021 Feb 1, 2015 #34 Mkuu hizi saa bado zipo?? kama zipo nitahitaji ya pili kutoka chini
vamda JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 919 Reaction score 598 Feb 2, 2015 #35 Nicheki 0755 831576