Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,051
Weka brand n lini zitakuwa zimefika
zipo zenye mikanda ya leather!?
Picha yasaa tahadhari sana
hiyo bei si mchezo...faida laki!!!
kupauka ni lazima tu mkuu hizi saa zote za kupaka lazima zipauke. halafu umesema tu skeleton haujasema brand name, maana nijuavyo mimi skeleton ni design hizi zenye transparent casing zinazoonesha mashine ya ndani. hizi saa nyingi sku hzi ni china tu, make ya ujerumani au uswisi kwa saa kama hiyo huwezi kupata kwa chini ya dola mia tano!ukitaka copy yake nakuuzia kwa 35000 bt baada ya miezi kadhaa zikipauka usinitafute
kupauka ni lazima tu mkuu hizi saa zote za kupaka lazima zipauke. halafu umesema tu skeleton haujasema brand name, maana nijuavyo mimi skeleton ni design hizi zenye transparent casing zinazoonesha mashine ya ndani. hizi saa nyingi sku hzi ni china tu, make ya ujerumani au uswisi kwa saa kama hiyo huwezi kupata kwa chini ya dola mia tano!
kwa wale mliochelewa mzigo uliopita weka oda sasa 0714547830
brand ya Skeleton from Germany
kwa 130000 tu
NB:Free deriverancy
mkuu we nomakupauka ni lazima tu mkuu hizi saa zote za kupaka lazima zipauke. halafu umesema tu skeleton haujasema brand name, maana nijuavyo mimi skeleton ni design hizi zenye transparent casing zinazoonesha mashine ya ndani. hizi saa nyingi sku hzi ni china tu, make ya ujerumani au uswisi kwa saa kama hiyo huwezi kupata kwa chini ya dola mia tano!