Saa ya ukombozi ni SASA: Zietgeist's Venus Project Lecture Tour: April-Oct Dates! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saa ya ukombozi ni SASA: Zietgeist's Venus Project Lecture Tour: April-Oct Dates!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Abdulhalim, Apr 15, 2010.

 1. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wakulu kama unatafakari na kujali mustakabali wa sayari yetu na sustainability yake na hazina zooote zilizomo kwa kizazi cha sasa na kijacho, hii ni fursa yako kueza kujiongezea ufahamu na kujua nini cha kufanya. Please support our team kadiri uonavo, kwa hali na mali, na shiriki ipasavyo kama timu yetu itakapokuwa inafanya shughuli zake mjini kwako au mji wa jirani. Mabadiliko yanategemea ufahamu, na ukosefu wa ufahamu kuhusu mabadiliko ni sawa na kifo cha mabadiliko.

  Kila la kheri na karibuni nyote.

   
Loading...