Saa ya Maombezi

Wapi hii..huyu wa mbele kachanuka kama anapigwa nanihii
 
Si sinema hii mtu anatafuta gia ya kutoka kimaisha nawaza tu kwa herufi ndogo
 
Kameraman huwa yy aanguka kwann hasa!!??
 
Cameraman na mabodigad hawaanguki kabisa wao ,ila style ya huyu jamaa wa mwanzo imenifurahisha sanaa[emoji23][emoji23]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cameraman na mabodigad hawaanguki kabisa wao ,ila style ya huyu jamaa wa mwanzo imenifurahisha sanaa[emoji23][emoji23]
Wao wanakua na Roho mtakatifu anawaongoza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Afadhali. ..asante sana mods
 
Uwezekano WA kuliwa huyo alieinua miguu ni mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…