Saa Nane za usiku najiuliza Hayati Magufuli hasingekuwa Mkatoliki tusingekumbuka kifo chake?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,937
Reaction score
10,815
Nianze kupongeza Kanisa katoliki kwa utaratibu wake wa kuwaombea na kuwakumbuka marehemu wote walio tangulia mbele ya haki kwa kanisa langu Takatifu Katoliki La Mitume Ili jambo ufanyika kila jumapili kwenye Nia za misa.

Sijui kwa dini nyingine mathalani uisilamu na kadhalika na Sina hakika na haya madhehebu yaliyoibuka ya kibongo freva wao sidhani kama hata kuzika wanazikaga jaman.

Swali langu haliko kwenye Dini maana hii ni Dhana Pana na najua wanajf wengi hatupendi kujadiri

Nauliza hivi Magufuli hasingekuwa mkatolliki ni kwamba siku aliyokufa haikumbukiki kitaida kabsa Ili Hali alikuwa Raisi wa kwanza kufia madarakani?

Hivi hii yawezekana ndo sababu Mimi sifi leo sijawai kusikia maazimisho ya siku kifo Cha Hayati KINGUNGE ? Aliyewai kuwa kiongozi mkubwa TU kwa sababu alikuwa haingii kanisani Wala msikitini?
 
Inawezekana Ila pia sifikirii Kama itakuwa sahihi kuwa na national Holiday ambazo hazipo kinanuni

Maana ukisema kila kiongozi anayefia madarakani akumbukwe ni vizuri Ila hapaswi kuwa national holiday .
 
Sina muda wa Kuandika mengi ila kwa kifupi.
Kuombea watu waliokufa na kuzikwa haibadirishi kitu chochote.

Ni imani za kipagani, wakristo hatuna huo upuuzi.
 
Kifo ni kifo tu, ufie madarakani au nje ya madaraka, Hayati Dr. Omary Ally Juma, makamu wa Raisi Mkapa naye alifia madarakani.

huo utaratibu wa kuwakumbuka waliokufa ni utaratibu wa wakatoliki

Huyo Kingunge hakua na dini, atakukumbukwa na machief wenzake
 
Nianze kupongeza Kanisa katoliki kwa utaratibu wake wa kuwaombea na kuwakumbuka marehemu wote walio tangulia mbele ya haki kwa kanisa langu Takatifu Katoliki La Mitume Ili jambo ufanyika kila jumapili kwenye Nia za misa.

Sijui kwa dini nyingine mathalani uisilamu na kadhalika na Sina hakika na haya madhehebu yaliyoibuka ya kibongo freva wao sidhani kama hata kuzika wanazikaga jaman.

Swali langu haliko kwenye Dini maana hii ni Dhana Pana na najua wanajf wengi hatupendi kujadiri

Nauliza hivi Magufuli hasingekuwa mkatolliki ni kwamba siku aliyokufa haikumbukiki kitaida kabsa Ili Hali alikuwa Raisi wa kwanza kufia madarakani?

Hivi hii yawezekana ndo sababu Mimi sifi leo sijawai kusikia maazimisho ya siku kifo Cha Hayati KINGUNGE ? Aliyewai kuwa kiongozi mkubwa TU kwa sababu alikuwa haingii kanisani Wala msikitini?
Acha udini na mihemko wewe chawa! Ibada ya wafu inasaidia nini?
 
Yule mshenzi katuharibia nchi ya nini kumkumbuka. Hata wakatoliki wenyewe wanafanya kiunafiki tu. Yule alitumia vibaya madhabahu za kanisa Katoliki.

Kila akienda St Peters anasema muniombee, halafu next day anaua watu kama Ben Saanane, ananyang'anya fedha za wafanyabiashara, anatupa watu gerezani bila makosa. Wacha aendelee kuungua na moto wa jehanam
 
R.I.P Ben Saanane
R.I.P Azory Gwanda
R.I.P Kamanda Mawazo
R.I.P Simon Kanguye
R.I.P Elias Michael
R.I.P maiti za kwenye viroba
Pole Tundu Lissu
 
Back
Top Bottom