SAA MBOVU NOMA

SAA MBOVU NOMA

Kweli Jeuri Dawa yake ni Kiburi... "Ndio"

Nami ntabaki Mbishi mpaka nilione Kaburi...

Wako wapi walionicheka Shuleni nilipofeli...

Pilika zangu Mtaani zimenifikisha mbali... "Ndio"
 
777a2d315d7b13da1c3387b3d8885b96.jpg
Hio nzuri sana
 
safi sana. Mitandao ya sim ina kera kwa sms zao za matangazo
 
Sasa hapo kwa mbele angewaandikia na namba yake ya simu kabisa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom